Kwa kuwa tumekombolewa kwa damu azizi ya Mwana wa Mungu, tunaonywa vipi?

Kwa kuwa tumekombolewa kwa damu azizi ya Mwana wa Mungu, tunaonywa kwamba, β€œMlinunuliwa kwa thamani, sasa basi mtukuzeni Mungu katika miili yenu” (1Kor 6:20). β€œKristo naye aliteswa kwa ajili yenu, akawaachia kielelezo, mfuate nyayo zake” (1Pet 2:21) katika kuvumilia na kusamehe. Ndivyo alivyofanya shemasi Stefano kwa waliompiga mawe mpaka akafa: β€œAkapiga magoti, akalia kwa sauti kuu, β€˜Bwana, usiwahesabie dhambi hii’. Akiisha kusema haya akalala” (Mdo 7:60).

βͺSwali lililopita: Ajabu la ukombozi wa Yesu ni nini?

⏩Swali linalofuata: Yesu alipokufa, ilikuwaje?

⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Kwa kuwa tumekombolewa kwa damu azizi ya Mwana wa Mungu, tunaonywa vipi?πŸ‘‡

πŸ“Œ Yesu alitufundisha sala gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Habari njema kwa watu wote maana yake ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Jina Yesu lina maana gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Nini maana ya neno Kristo?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Neno Bwana lina maana gani katika Biblia?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kwa ajili gani Mwana wa Mungu (Yesu) alijifanya mtu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Umwilisho maana yake ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Namna gani Yesu ni Mungu kweli na mtu kweli?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Moyo Mtakatifu wa Yesu unawakilisha nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Maisha ya Mtoto Yesu huko Nazareth yanatufundisha nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kwa nini Yesu alifanya ishara na miujiza?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kwa nini Yesu aligeuka sura?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu alikufa msalabani kwa kusudi gani? Kwa nini Yesu alikufa msalabani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu alifufuka lini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni ishara gani zinazoshuhudia ufufuko wa Yesu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Baada ya kufufuka Yesu alifanya nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kwa nini Yesu alipaa Mbinguni?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu aliweka makanisa mangapi? Yesu hakufanya makanisa mengi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kwa kusudi gani Yesu alianzisha Kanisa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa linatimiza kusudi la Yesu Kristo kwa namna gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu amemweka nani kuwa mkubwa wa Kanisa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mama wa Yesu ni nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Bikira Maria alimzaa Yesu Kristo kwa uwezo gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu alitimiliza Agano la Kale kwa namna isiyotarajiwa hasa lini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Nani Mkombozi wa watu wote?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu maana yake nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kristo maana yake nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu kuwa Mwana pekee wa Mungu maana yake nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, anaweza mtu kusema, β€˜Yesu ni Bwana’?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu ni Mungu au mtu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Umungu na utu wa Yesu vinachanganyikana?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Mwana wa Mungu tangu atwae mwili ni mtu kamili mwenye akili na utashi wa kibinadamu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Hapa duniani Yesu alizaliwa na nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, ni muhimu kujua maisha ya Yesu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Baada ya kujua maisha ya Yesu tunapaswa kufanya nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu alitumiaje sehemu kubwa ya maisha yake?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Lini Yesu aliacha maisha ya kijijini akaanza utume wake?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kwa nini Yesu alishawishiwa/alijaribiwa na Shetani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kwa nini Yesu aliteswa hadi kuuawa msalabani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Mungu Baba alihusika na sadaka ya Mwanae?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ajabu la ukombozi wa Yesu ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu alipokufa, ilikuwaje?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Siku ya tatu baada ya Yesu kufa ilitokea nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ufufuko wa Yesu siku ya Jumapili ulishuhudiwa na nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Yesu alirudia maisha ya duniani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, ufufuko wa Yesu ni muhimu kwetu pia?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Siku arubaini baada ya kufufuka, Yesu alifanya nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, sisi tunahusika na kupaa kwa Yesu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, utawala wa Yesu umeshaanza?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Utawala wa Yesu umeanza hasa wapi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, kazi zote za Roho Mtakatifu zinahusiana na Yesu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Siku ya ufufuo Kristo mfalme atatuhukumu vipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ekaristi maana yake nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, sala ya Yesu inatokana na utu wake tu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu alisali vipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu ametufundisha kusali vipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Yesu ametufundisha maneno ya sala pia?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, sala inaweza kumuendea Yesu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kabla ya Kupaa mbinguni Yesu aliwaahidi nini Mitume?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Bikira Maria alikua na watoto wengine Mbali na Yesu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Baba wa Yesu Kristo ni nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Baba Mlishi wa Yesu Kristu ni nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu Kristu alizaliwa wapi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu Kristu aliishi wapi kabala ya kuanza kazi yake?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mtangulizi wa Yesu Kristu ni nan?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu Alianza kuhubiri injili kwa maneno gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu alitukomboa kwa hatua zipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Sentesi saba za Yesu msalabani ni zipi?, soma jibu hapaβœ…


.

.

.

IMG_20181021_134942.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Upendo wa KiMungu. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!