YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Website Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Kuna Ubatizo wa namna ngapi?πŸ‘‡

Kuna Ubatizo wa namna tatu;

1. Ubatizo wa maji - Ubatizo wa kawaida

2. Ubatizo wa tamaa - Mfano mtu akifa akiwa na nia ya kubatizwa au akitamani kubatizwa

3. Ubatizo wa Damu - Mtu akiifia Imani japo hajabatizwa

βͺSwali lililopita: Sakramenti ya Ubatizo yatuletea nini?
⏩Swali linalofuata: Nani aweza kubatiza?
⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Kuna Ubatizo wa namna ngapi?πŸ‘‡
New-Microsoft-PowerPoint-Presentation-2.gif