Katika Amri ya Tano ya Kanisa tumeamriwa nini?

Katika Amri ya Tano ya Kanisa tumeamriwa kufahamu kuwa gharama za dini na za mapadre zatupasa. Yaanai wakristo walitegemeze Kanisa na wahudumu wake na hasa katika kazi ya kueneza injili.

⏩Swali linalofuata: Zaka ni nini?

⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Katika Amri ya Tano ya Kanisa tumeamriwa nini?πŸ‘‡

πŸ“Œ Amri za Kanisa ni zipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Katika Amri ya kwanza ya Kanisa tumeamriwa nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Sikukuu zilizoamriwa ni zipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Katika Amri ya Kwanza ya kanisa tumekatazwa nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kujinyima ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Nani ana lazima ya kufunga?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Siku za kufunga ni zipi? Na siku gani tumekatazwa kula nyama?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Katika Amri ya Tatu ya Kanisa tumeamriwa nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Katika Amri ya Nne ya Kanisa tumeamriwa nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Zaka ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Asiyelipa Zaka na michango mingine ya Kanisa ya lazima atenda dhambi gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Amri ya Sita ya Kanisa Inadai nini?, soma jibu hapaβœ…


.

.

.

images-23.jpeg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Mungu ni mwema hata tunapokua wadhambi. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!