YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Kanisa ni Takatifu maana yake ni nini?πŸ‘‡

Kanisa ni Takatifu maana yake:-

1. Limeanzishwa na Mungu mwenyewe aliye Mtakatifu

2. Kristo aliye Mtakatifu alijitoa mwenyewe sadaka kwa ajili yake ili kulitakasa

3. Roho Mtakatifu hulihuisha kwa upendo wake

4. Ndani yake wamo Bikira Maria na Watakatifu wengi wanaoliombea

βͺSwali lililopita: Kanisa ni Moja maana yake ni nini?
⏩Swali linalofuata: Kanisa ni Katoliki maana yake ni nini?
⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Kanisa ni Takatifu maana yake ni nini?πŸ‘‡

πŸ“Œ Sala ya kanisa ni nini?βœ…

πŸ“Œ Kanisa Katoliki ni nini?βœ…

πŸ“Œ Jimbo Katoliki ni nini?βœ…

πŸ“Œ Maklero ni wakina nani?βœ…

πŸ“Œ Watawa ni akina nani?βœ…

πŸ“Œ Walei ni wakina nani?βœ…

πŸ“Œ Tunaweza kusadiki vipi?βœ…

πŸ“Œ Kanisa maana yake nini?βœ…

πŸ“Œ Wokovu unapatikana wapi?βœ…

πŸ“Œ Ekaristi maana yake nini?βœ…

Slide2-utotoni.GIF