YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Kama binadamu Yesu alijifunza kusali kwa nani?πŸ‘‡

Kama binadamu Yesu alijifunza kusali kwa Mama yake na kwa mapokeo yote ya Israeli, yaliyojitokeza hasa katika Zaburi. β€œWazee wake huenda Yerusalemu kila mwaka, wakati wa sikukuu ya Pasaka. Na alipopata umri wake miaka kumi na miwili, walipanda kama ilivyokuwa desturi ya sikukuu” (Lk 2:41-42). β€œSaa tisa Yesu alipaza sauti yake kwa nguvu, β€˜Eloi, Eloi, lama sabakthani?’” (Mk 15:34). β€œEe Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu” (Lk 23:46).

βͺSwali lililopita: Kielelezo cha sala yetu ni nani?
⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Kama binadamu Yesu alijifunza kusali kwa nani?πŸ‘‡

πŸ“Œ Sala ni nini?βœ…

πŸ“Œ Kwa nini tunasali?βœ…

πŸ“Œ Nani anapaswa kusali?βœ…

πŸ“Œ Yatupasa kusali lini?βœ…

πŸ“Œ Sala zipo za namna ngapi?βœ…

πŸ“Œ Sala ya Taamuli ni nini?βœ…

πŸ“Œ Sala ya sauti ni nini?βœ…

πŸ“Œ Sala ya fikara ni nini?βœ…

πŸ“Œ Sala ya kanisa ni nini?βœ…

πŸ“Œ Masifu ni nini?βœ…

πŸ“Œ Tumuadhimishe nani?βœ…

πŸ“Œ Hekalu ndiyo nini?βœ…

πŸ“Œ Maana ya baraka ni ipi?βœ…

πŸ“Œ Mazinguo ndiyo nini?βœ…

πŸ“Œ Yesu alisali vipi?βœ…

Slide1-mabest-skull.PNG