Je, ufunuo wa Mungu unaweza kufafanuliwa rasmi na kila mtu?
Hapana, ufunuo wa Mungu unaweza kufafanuliwa rasmi na umoja wa Maaskofu tu, kwa kuwa ndio waandamizi wa Mitume 12 wa Yesu. βAu je, neno la Mungu lilitoka kwenu? Au kuwafikia ninyi peke yenu?β (1Kor 14:36). βHakuna unabii katika Maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu. Maana unabii haukuletwa popote kwa mapenzi ya mwanadamuβ (2Pet 1:20-21). Tunahitaji unyenyekevu wa Mwafrika ambaye shemasi Filipo alimsikia βanasoma chuo cha nabii Isaya; akanena, βJe, yamekuelea haya unayosoma?β Akasema, βNitawezaje kuelewa, mtu asiponiongoza?β Akamsihi Filipo apande na kuketi pamoja nayeβ (Mdo 8:30-31).
β¬β¬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πJe, ufunuo wa Mungu unaweza kufafanuliwa rasmi na kila mtu?π
π Sala ya kanisa ni nini?β
π Vyanzo vya sala za Kikristoβ
π Ni ipi sala kubwa ya Kanisa?β
π Kanisa Katoliki ni nini?β
π Jimbo Katoliki ni nini?β
π Maklero ni wakina nani?β
π Watawa ni akina nani?β
π Walei ni wakina nani?β
π Je, Biblia zote ni sawa?β
π Tupokeeje ufunuo wa Mungu?β
π Tunaweza kusadiki vipi?β
π Kanisa maana yake nini?β
π Wokovu unapatikana wapi?β
π Je, ubatizo tuu unatosha?β
π Ekaristi maana yake nini?β
π Je, divai (pombe) ni halali?β

Ujumbe wangu kwako kwa sasa
Sala siyo maneno mazuri, bali sala ni NIA ya Upendo iliyobebwa na maneno mazuri. Tusali kwa kunuia kutoka moyoni na sio kwa kunena maneno tuu mdomoni.
Mungu Akubariki sana… Tuombeane!
Chagua aina ya mafundisho unayotaka kusoma hapa..
amri_kumi
amri_ya_kumi
amri_ya_kwanza
amri_ya_nane
amri_ya_nne
amri_ya_pili
amri_ya_saba
amri_ya_sita
amri_ya_tano
amri_ya_tatu
amri_ya_tisa
amri_za_kanisa
asili
biblia
bikira_maria
daraja
dhambi
dhamira
ekaristi
fumbo
habari_njema
hukumu
huruma
ibada
ishara
ishara_ya_msalaba
kanisa
karama
katekesi
katoliki
kifo
kipaimara
kitubio
kuabudu
liturujia
maana
madhehebu
malaika
mapokeo
marehemu
misa
mitume
mpako_wa_wagonjwa
mtu
mungu
ndoa
neema
rehema
roho_mtakatifu
sakramenti
sala
sanamu
toharani
ubatizo
ufufuko
ufufuo
ufunuo
umwilisho
utatu_mtakatifu
utawa
uumbaji
uzima_wa_milele
vilema
visakramenti
vishawishi
wafu
watakatifu
yesu
Post preview:
Close preview