Ungepaswa kusoma kwanza haya;

Je, tumuendee padri ili kuondolewa dhambi?

Ndiyo, tumuendee padri ili kuondolewa dhambi tulizotenda baada ya ubatizo, kwa kuwa hatuwezi kupokea msamaha tukikataa masharti yake, na Mungu ametupangia watu ambao watuondolee kwa niaba yake. “Watu wote na watoza ushuru waliposikia hayo, waliikiri haki ya Mungu, kwa kuwa wamebatizwa kwa ubatizo wa Yohane. Lakini, Mafarisayo na wanasheria walilipinga shauri la Mungu juu yao, kwa kuwa hawakubatizwa naye” (Lk 7:29-30). Yesu mwenyewe alikubali kubatizwa na Yohane ili atimize mpango wa Baba. “Yohane alitaka kumzuia, akisema, ‘Mimi nahitaji kubatizwa na wewe, nawe waja kwangu?’ Yesu akajibu akamwambia, ‘Kubali hivi sasa; kwa kuwa ndivyo itupasavyo kuitimiza haki yote” (Math 3:14-15). Je, sisi tukatae kumkimbilia padri wa Mungu ili kupokea huruma yake tunayoihitaji kuliko hewa?

Maswali ya kuendelea

⏬⏬Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu 👉Je, tumuendee padri ili kuondolewa dhambi?👇

• Dhambi ya asili ndio nini?, soma jibu

• Adhabu gani walipewa Adamu na Eva?, soma jibu

• Kisha kosa la Adamu na Eva Mungu aliahidi nini?, soma jibu

• Bikira Maria kukingiwa dhambi ya asili maana yake ni nini?, soma jibu

• Mungu akiwa wema mkuu na mwenye uwezo wote, mbona katika viumbe vyake kuna ubaya? Kwa nini Mungu anaruhusu mabaya na maovu?, soma jibu

• Mungu angeweza kuzuia watu wasitende dhambi?, soma jibu

• Je, toka mwanzo sisi watu tunaasi mpango wa Mungu peke yetu?, soma jibu

• Je, dhambi zote zinahusiana?, soma jibu

• Dhambi zimetuathiri vipi tena?, soma jibu

• Katika unyonge wetu tutumainie nini?, soma jibu

• Yesu ni Mungu au mtu?, soma jibu

• Kwa nini Yesu alishawishiwa/alijaribiwa na Shetani?, soma jibu

• Kwa nini Yesu aliteswa hadi kuuawa msalabani?, soma jibu

• Je, Kanisa linaweza kutuondolea dhambi yoyote?, soma jibu

• Yesu aliweka Kitubio na Mpako wa Wagonjwa kwa sababu gani?, soma jibu

• Mungu aliwapa watu (mapadri) amri/uwezo ya kusamehe dhambi kwa njia ya nani? Ni halali kuungama kwa padre?, soma jibu

• Mungu aliwapa watu amri ya kusamehe dhambi zipi?, soma jibu

• Mungu aliwapa watu amri ya kusamehe dhambi kwa sababu gani?, soma jibu

• Tumuungamie padri dhambi zetu kwa lengo gani? Kwa nini Wakatoliki wanaungama kwa padri?, soma jibu

• Je, padri akiwa mkosefu, anaweza kutuondolea dhambi?, soma jibu

• Je, nje ya kitubio tunaweza kuondolewa dhambi tuliyotenda baada ya ubatizo?, soma jibu

• Dhambi za uchafu huleta hasara gani?, soma jibu

• Mambo yanayomzuia mtu kuishi maisha mema ni yapi?, soma jibu

• Dhambi ni nini?, soma jibu

• Je kuna aina tofauti ya dhambi?, soma jibu

• Dhambi zinatofautianaje katika uzito?, soma jibu

• Dhambi ya mauti ni nini?, soma jibu

• Dhambi ya Mauti hutupotezea nini?, soma jibu

• Anayekufa akiwa na dhambi ya mauti huenda wapi?, soma jibu

• Dhambi nyepesi ni nini?, soma jibu

• Dhambi nyepesi hutupotezea nini?, soma jibu

• Adhabu ya dhambi ndogo ni nini?, soma jibu

• Je, Tunawajibika kwa dhambi zilizotendwa na wengine?, soma jibu

• Dhambi zinazomlilia Mungu ni zipi?, soma jibu

• Sakramenti ya Kitubio ni nini?, soma jibu

• Lini na kwa maneno gani Yesu aliweka Sakramenti ya Kitubio?, soma jibu

• Mwenye kuwaondolea watu dhambi ni nani?, soma jibu

• Nani yampasa kupokea Sakramenti ya Kitubio?, soma jibu

• Mkristo akitaka kupokea Sakramenti ya Kitubio yampasa nini?, soma jibu

• Wakati wa Sakramenti ya Kitubio Utamwomba Roho Mtakatifu kwa sala gani?, soma jibu

• Kutafuta dhambi maana yake ni nini?, soma jibu

• Utafuteje dhambi wakati wa kujiandaa kuungama?, soma jibu

• Kutubu dhambi maana yake ni nini?, soma jibu

• Kwa nini tujute dhambi zetu?, soma jibu

• Kuna majuto ya namna ngapi?, soma jibu

• Majuto kamili ni nini?, soma jibu

• Majuto yasiyo kamili au majuto pungufu ni nini?, soma jibu

• Asiyejuta aweza kuondolewa dhambi?, soma jibu

• Kabla ya kuungama ni lazima kufanya nini?, soma jibu

• Anayetaka kweli kuacha dhambi afanye nini?, soma jibu

• Kuungama ni kufanya nini?, soma jibu

• Anayeficha kusudi dhambi ya mauti katika ungamo anaondolewa?, soma jibu

• Anayekufuru Sakramenti ya Kitubio yampasa nini?, soma jibu

• Padri anaondolea dhambi mahali pa nani?, soma jibu

• Padri anaondolea dhambi kwa maneno gani?, soma jibu

• Kitubio tuwezacho kupewa na padre ni nini?, soma jibu

• Kitubio tupewacho na padre chatosha?, soma jibu

• Kutimiza malipizi maana yake ni ni nini?, soma jibu

• Kwa Sakramenti ya Kitubio tunapata neema zipi?, soma jibu

• Mkristo akipokea Ekaristi Takatifu akiwa na dhambi rohoni anatenda dhambi gani?, soma jibu

Usisahau kulike na kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Je, tumuendee padri ili kuondolewa dhambi?. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Ujumbe wangu kwako kwa sasa wa Kutafakari

"Mungu haangalii matemdo ya mtu ya nje tuu, bali anaangalia ndani kabisa mawazo ya mtu na nia yake. Nia ya mtu ndiyo inayoonyesha mtu alivyo."

Mungu Akubariki Daima. Tukumbukane katika sala.

Endelea kusoma makala hizi;

a.gif JE, WAKATOLIKI WANABUDU SANAMU?
Mpenzi msomaji, kumekuwa na tuhuma nyingi dhidi ya wakatoliki kwamba wanaabudu sanamu. Je, tuhuma hizo zina ukweli gani? Hilo ndilo swali tunalotaka kujibu leo… soma zaidi
a.gif Swali la kutisha
SWALI LA KUTISHA: *Ikiwa ela unayotoa kanisani ingetumika kujenga nyumba yako mbinguni, ingekuwa imefikia wapi hivi sasa? Nauliza tu, wengi tunaweza kuwa wakimbizi mbinguni*.. soma zaidi
a.gif Soma hii stori unaweza ukajifunza kitu
Kijana mmoja alisafiri kwa meli na rafiki zake,
wakiwa katikati ya safari yao meli ilianza
kuzama. Watu wengi pamoja na rafiki wa yule
kijana walikufa maji wakati wanajaribu kujiokoa
kwa kuogelea, lakini yule kijana alifanikiwa
kushika ubao ulioelea majini akaanza kuelea nao,
maji yalimpeleka hadi kisiwa cha mbali sana
ambako hakukuwa na watu wala wanyama
isipokuwa wadudu tu! Alifika ufukweni amechoka
sana na asiyeamini tukio lililotokea, akaishi huko
kwa kula matunda… soma zaidi
a.gif Tujifunze kitu hapa
Siku moja mwanamke alitoka nje ya nyumba na kuwaona wazee watatu wenye mvi kichwani wakiwa wamekaa nje ya nyumba yake.
Hakuwatambua na wala hakuwa anawafahamu… soma zaidi
a.gif Kujitambua Mbele ya Mungu
Kujitambua wewe ni nani na unanafasi gani mbele ya Mungu, hii ndio njia ya kuelekea Wokovu na Utakatifu… soma zaidi
a.gif Soma hii stori unaweza ukajifunza kitu
Kijana mmoja alisafiri kwa meli na rafiki zake,
wakiwa katikati ya safari yao meli ilianza
kuzama. Watu wengi pamoja na rafiki wa yule
kijana walikufa maji wakati wanajaribu kujiokoa
kwa kuogelea, lakini yule kijana alifanikiwa
kushika ubao ulioelea majini akaanza kuelea nao,
maji yalimpeleka hadi kisiwa cha mbali sana
ambako hakukuwa na watu wala wanyama
isipokuwa wadudu tu! Alifika ufukweni amechoka
sana na asiyeamini tukio lililotokea, akaishi huko
kwa kula matunda… soma zaidi
a.gif Tafakari ya SA-SE-SI-SO-SU
:::::"SA"::::::
:::::::"SE"::::::
:::::::::"SI"::::::
::::::::::"SO"::::::
::::::::::::"SU"::::::.. soma zaidi
a.gif Tumia kile ulichonacho kwa sasa Ndio baraka aliyokupa Mungu, usingoje miujiza
Mungu angetaka kukufanyia kila kitu asingekupa miguu ya kutembelea, asingekupa mikono wala macho ya kuona na masikio ya kusikia. Asingekupa akili ya kufikiria na wala asingekupa nguvu za kufanyia kazi. Angekufanyia kila kitu na wewe kukaa tu, ana uwezo huo na angeweza kufanya hivyo lakini hakufanya… soma zaidi
a.gif Madhara 6 ya kutoa Mimba
Kutoa mimba ni nini?
Hii ni hali ya mwanamke kwa hiari yake mwenyewe kuharibu mimba iliyoingia ndani ya kizazi chake… soma zaidi
a.gif Maana ya kuushinda ulimwengu
Kuushinda ulimwengu ni Kuushinda mwili na akili,.. soma zaidi

Fwatilia Website hii kwenye Email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo

Ikiwemo Makala hii ya Je, tumuendee padri ili kuondolewa dhambi?, makala nyingine zinazosomwa sana ni kama ifuatavyo;

• MPANGILIO WA KURASA ZA POSTI NA MAKALA, isome hapa

• Amani ya Moyoni au Rohoni, isome hapa

• Mtakatifu Brigita wa Sweeden, isome hapa

• JE, WAKATOLIKI WANABUDU SANAMU?, isome hapa

• Mafundisho ya kumfundisha mtu mzima kabla ya ubatizo wa hatari, isome hapa

• Swali la kutisha, isome hapa

• Soma hii stori unaweza ukajifunza kitu, isome hapa

• Tujifunze kitu hapa, isome hapa

• Kuumbwa kwa mtu, Mungu alivyoumba binadamu, isome hapa

• Kuumbwa kwa Dunia, isome hapa

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Je, tumuendee padri ili kuondolewa dhambi?, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

[WIMBOPA.gif👉] Salamu Mama Mwema
Mtakatifu-Justin-mfiadini.jpg

Mtakatifu wa Sasa
Leo tunatafakari na kujifunza kutoka kwa Mtakatifu Justin mfiadini.
Soma zaidi kuhusu Mtakatifu Justin mfiadini hapa.

Chagua aina ya mafundisho unayotaka kusoma hapa..

.

.

IMG_20180905_125537.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Kumtafuta Mungu. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!