YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Je, sala inaweza kumuendea Yesu?πŸ‘‡

Ndiyo, sala inaweza kumuendea Yesu, Bwana wetu na kaka yetu, aliye hai mbinguni, kama ilivyomuendea na kusikilizwa alipokuwa duniani. Mhalifu alisema, β€œβ€˜Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako’. Yesu akamwambia, β€˜Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi” (Lk 23:42-43). Stefano aliomba, β€œβ€˜Bwana Yesu, pokea roho yangu’. Akapiga magoti, akalia kwa sauti kuu, β€˜Bwana, usiwahesabie dhambi hii’” (Mdo 7:59-60). β€œRoho na Bibi arusi wasema, β€˜Njoo!’. Naye asikiaye na aseme, β€˜Njoo!’… Na uje, Bwana Yesu!” (Ufu 22:17,20).

βͺSwali lililopita: Je, sala yetu inasikilizwa daima?
⏩Swali linalofuata: Roho Mtakatifu anatusaidiaje kusali?
⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Je, sala inaweza kumuendea Yesu?πŸ‘‡

πŸ“Œ Sala ni nini?βœ…

πŸ“Œ Kwa nini tunasali?βœ…

πŸ“Œ Nani anapaswa kusali?βœ…

πŸ“Œ Yatupasa kusali lini?βœ…

πŸ“Œ Sala zipo za namna ngapi?βœ…

πŸ“Œ Sala ya Taamuli ni nini?βœ…

πŸ“Œ Sala ya sauti ni nini?βœ…

πŸ“Œ Sala ya fikara ni nini?βœ…

πŸ“Œ Sala ya kanisa ni nini?βœ…

πŸ“Œ Yesu alifufuka lini?βœ…

πŸ“Œ Mama wa Yesu ni nani?βœ…

πŸ“Œ Yesu maana yake nini?βœ…

πŸ“Œ Kristo maana yake nini?βœ…

πŸ“Œ Yesu ni Mungu au mtu?βœ…

πŸ“Œ Ekaristi maana yake nini?βœ…

πŸ“Œ Mazinguo ndiyo nini?βœ…

πŸ“Œ Yesu alisali vipi?βœ…

kj.gif