YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Je, sala inategemea maneno?πŸ‘‡

Hapana, sala haitegemei maneno mengi mazuri, bali kujijenga β€œjuu ya imani… na kuomba katika Roho Mtakatifu” (Yud 20). β€œMkiwa katika kusali, msipayukepayuke, kama watu wa mataifa; maana hao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi” (Math 6:7). Hii haituzuii tusirudie maneno yetu kwa dhati zaidi na zaidi. Yesu β€œalikwenda, akaomba mara ya tatu, akisema maneno yaleyale” (Math 26:44). Tunaweza kusali kimoyomoyo pia. β€œHana alikuwa akinena moyoni mwake, midomo yake tu ilionekana kama anena, sauti yake isisikiwe… β€˜Nimeimimina roho yangu mbele za Bwana’” (1Sam 1:13,15). β€œManeno ya kinywa changu, na mawazo ya moyo wangu, yapate kibali mbele zako, Ee Bwana” (Zab 19:14).

⏩Swali linalofuata: Je, sala yetu inasikilizwa daima?
⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Je, sala inategemea maneno?πŸ‘‡

πŸ“Œ Sala ni nini?βœ…

πŸ“Œ Kwa nini tunasali?βœ…

πŸ“Œ Nani anapaswa kusali?βœ…

πŸ“Œ Yatupasa kusali lini?βœ…

πŸ“Œ Sala zipo za namna ngapi?βœ…

πŸ“Œ Sala ya Taamuli ni nini?βœ…

πŸ“Œ Sala ya sauti ni nini?βœ…

πŸ“Œ Sala ya fikara ni nini?βœ…

πŸ“Œ Sala ya kanisa ni nini?βœ…

πŸ“Œ Mazinguo ndiyo nini?βœ…

πŸ“Œ Yesu alisali vipi?βœ…

Slide3-mabestimliopotezana.PNG