YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

By Melkisedeck Leon Shine

.

πŸ‘‰β” Je, ni muhimu tujiandae kufa?πŸ‘‡

Ndiyo, ni muhimu tujiandae kufa wakati wowote na namna yoyote kwa kuishi kitakatifu sasa na kwa kujiombea neema tutakazohitaji saa ya kufa kwetu, tukijua tumewekewa β€œkufa mara moja, na baada ya kufa hukumu” (Eb 9:27). β€œKatika mambo yako yote uukumbuke mwisho wako, hivyo hutakosa kamwe hata hatima” (YbS 7:36). β€œHamjui yatakayokuwako kesho! Uzima wenu ni nini? Maana ninyi ni mvuke uonekanao kwa kitambo, kisha hutoweka” (Yak 4:14). β€œKesheni, mwombe, msije mkaingia majaribuni” (Math 26:41).

⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Je, ni muhimu tujiandae kufa?πŸ‘‡
IMG_20180108_172915.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

Mungu anamjibu mtu sala zake kutokana na anachonuia.

Mungu Akubariki Daima… Tuombeane!