YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Website Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Je, mwili utakaofufuliwa ni huuhuu tulionao sasa?πŸ‘‡

Ndiyo, mwili utakaofufuliwa ni huuhuu tulionao sasa, lakini katika hali tofauti: β€œhupandwa katika uharibifu; hufufuliwa katika kutokuharibika” (1Kor 15:42). Siku ya ufufuo β€œndipo watakapomwona Mwana wa Adamu akija katika wingu pamoja na nguvu na utukufu mwingi” (Lk 21:27). β€œSaa yaja ambayo watu wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake. Nao watatoka; wale waliofanya mema kwa ufufuko wa uzima, na waliotenda mabaya kwa ufufuo wa hukumu” (Yoh 5:28-29). β€œNa hao watakwenda zao kuingia katika adhabu ya milele; bali wenye haki watakwenda katika uzima wa milele” (Math 25:46).

βͺSwali lililopita: Toharani maana yake nini?
⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Je, mwili utakaofufuliwa ni huuhuu tulionao sasa?πŸ‘‡

πŸ“Œ Mtu ni nani?βœ…

πŸ“Œ Mungu alimwumbaje Adamu?βœ…

πŸ“Œ Dini ni nini?βœ…

πŸ“Œ Mungu alinena na nani?βœ…

πŸ“Œ Motoni ni nini?βœ…

πŸ“Œ Uzima wa milele ni nini?βœ…

πŸ“Œ Toharani ni mahali gani?βœ…

πŸ“Œ Tunaanzaje kumjua Mungu?βœ…

πŸ“Œ Mungu ametufunulia nini?βœ…

πŸ“Œ Sisi binadamu tukoje?βœ…

πŸ“Œ Je, mwili wetu ni muhimu?βœ…

πŸ“Œ Yesu ni Mungu au mtu?βœ…

πŸ“Œ Toharani maana yake nini?βœ…

Marafiki-wa-enzi.GIF