YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Je, Mungu amejitambulisha pia kwa jina?πŸ‘‡

Ndiyo, Mungu amejitambulisha pia kwa majina mbalimbali. Katika Agano la Kale jina muhimu kuliko yote liliandikwa β€œYHWH” yaani, β€œMimi Ndimi”. Tangu zamani Wayahudi hawalitamki, hivyo wakilifikia wanasoma kwa kutafsiri, β€œBwana”. Ndiyo sababu katika Agano Jipya halitumiki kamwe, isipokuwa Yesu alifunua Umungu wake kwa kujisemea, β€œMimi Ndimi” na kwa kukubali kuitwa, β€œBwana”. Pamoja na hayo, alisali na kufundisha kusali kwa kumuelekea β€œABA” yaani, β€œBaba”. Ndilo jina ambalo linampendeza zaidi na kutuingiza katika fumbo lake kama wana ndani ya Mwana pekee ambaye β€œMungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina; ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa Yesu Kristo ni Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba” (Fil 2:9-11). β€œMsalipo, semeni, β€˜Baba, jina lako litakaswe’” (Lk 11:2). β€œMlipokea roho ya kufanywa wana, ambayo kwa hiyo twalia, β€˜Aba!’ yaani, β€˜Baba!’” (Rom 8:15).

βͺSwali lililopita: Hasa Mungu amejifunua kuwa nani?
⏩Swali linalofuata: Mungu ametufunulia nini?
⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Je, Mungu amejitambulisha pia kwa jina?πŸ‘‡

πŸ“Œ Nani ameumba vitu vyote?βœ…

πŸ“Œ Mungu ni nani?βœ…

πŸ“Œ Mungu ni nini?βœ…

πŸ“Œ Mungu wako wangapi?βœ…

πŸ“Œ Tunaanzaje kumjua Mungu?βœ…

πŸ“Œ Mungu ametufunulia nini?βœ…

πŸ“Œ Yesu ni Mungu au mtu?βœ…

πŸ“Œ Roho Mtakatifu ni nani?βœ…

Slide3-mliopoteana.GIF