Blog kwa Wakatoliki

Mpangilio wa kurasa Kwa Wakatoliki ndani ya AckySHINE

|| HOME || MAKALA || TAFAKARI || SALA || MAFUNDISHO || MIUJIZA || WATAKATIFU || NYIMBO || PICHA ||

.

๐Ÿ‘‰โ” Je, Maria ni mama yetu pia?๐Ÿ‘‡

Ndiyo, Maria ni mama yetu pia: kwa kushiriki kazi yote ya Mwanae, Adamu mpya, amekuwa Eva mpya, mama wa wale wote aliowakomboa msalabani. โ€œYesu alipomwona mama yake, na yule mwanafunzi aliyempenda amesimama karibu, alimwambia mama yake, โ€˜Mama, tazama mwanaoโ€™. Kisha akamwambia yule mwanafunzi, โ€˜Tazama, mama yakoโ€™โ€ (Yoh 19:26-27). Kisha kushirikishwa ufufuko wake, anazidi kutushughulikia kimama tufike salama mbinguni alikotangulia kupalizwa mwili na roho.

โชSwali lililopita: Je, Maria amechangia wokovu wetu?
โฉSwali linalofuata: Je, ni vizuri kumsifu Maria?

โฌโฌ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu ๐Ÿ‘‰Je, Maria ni mama yetu pia?๐Ÿ‘‡

Majarida na vitabu kutoka Ackyshine eBook Shop

MBINU-YA-KILIMO-BORA-CHA-MBOGA.jpg
Kwa punguzo kutoka Tsh 7000/= hadi Tsh 2500/= kwa leo tuu!.
Jipatie ๐Ÿ“•Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga๐ŸŒฟ๐Ÿ… kwa Tsh 2500/= tuu.
jua%20zaidi%2C%20dont%20delete

vichekesho.jpg
Kwa punguzo kutoka Tsh 6500/= hadi Tsh 2500/= kwa leo tuu!.
Jipatie ๐Ÿ“•Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+โœ” kwa Tsh 2500/= tuu.
jua%20zaidi%2C%20dont%20delete

.

JesusPrayingAnimatedNoText3-vi.gif

.

.