Je, Maria amechangia wokovu wetu?

YESU-ANAKUPENDA.png

Je, Maria amechangia wokovu wetu?

Ndiyo, Maria amechangia wokovu wetu kwa kukubali mpango wote wa Mungu aliyetaka amzae Mwanae, amlee na kumfuata kiaminifu hadi msalabani, aliposhiriki kumtoa kama sadaka ya kutuokoa. Msimamo wake ulikuwa mmoja tu: “Tazama, mimi ni mjakazi wa Bwana; na iwe kwangu kama ulivyosema” (Lk 1:38).

YESU-ANAKUPENDA.png
HURUMA-YA-MUNGU.png

Mafundisho mengine ya Kikatoliki

YESU-ANAKUPENDA.png
Ishara-ndogo-ya-Msalaba.png
HURUMA-YA-MUNGU.png
Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;

BIKIRA-MARIA-NI-MAMA-WA-WAKRISTU-WOTE.png
HURUMA-YA-MUNGU.png
Ishara-ndogo-ya-Msalaba.png
YESU-ANAKUPENDA.png