YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

By Melkisedeck Leon Shine

.

πŸ‘‰β” Je, kuna viumbe ambavyo tunaviheshimu kwa kumtukuza Mungu?πŸ‘‡

Ndiyo twamuheshimu Bikira Maria, Malaika na Watakatifu.

⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Je, kuna viumbe ambavyo tunaviheshimu kwa kumtukuza Mungu?πŸ‘‡
IMG_20170703_130508.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

Hakuna Binadamu anayemchukia Mungu kama hajichukii yeye mwenyewe na wale wanaomzunguka. Huwezi kusema humtaki Mungu kama hujichukii mwenyewe na wale waliokuzunguka vivyo hivyo huwezi kusema Unampenda Mungu kama hupendi wengine waliokuzunguka.

Mungu Akubariki Daima… Tuombeane!