Ungepaswa kusoma kwanza haya;

Je, Kanisa linaweza kutuondolea dhambi yoyote?

Ndiyo, Kanisa linaweza kutuondolea dhambi yoyote katika ubatizo na kitubio kwa kutumia mamlaka ambayo Yesu mfufuka aliwashirikisha Mitume wake alipowavuvia akisema: “Pokeeni Roho Mtakatifu. Wowote mtakaowaondolea dhambi, wameondolewa; na wowote mtakaowafungia dhambi, wamefungiwa” (Yoh 20:22-23). “Mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu” (1Kor 6:11).

⏩Swali linalofuata: Je, ni muhimu tujiandae kufa?

Maswali ya kuendelea

a.gif Tutakapofariki dunia itatutokea nini?
Tutakapofariki dunia roho yetu isiyokufa, mbali na mwili unaooza, itapewa tuzo au adhabu tuliyostahili kwa maisha yetu. “Ikawa yule maskini alikufa, akachukuliwa na malaika mpaka kifuani kwa Ibrahimu. Yule tajiri naye akafa, akazikwa. Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, alipokuwa katika mateso, akamwona Ibrahimu kwa mbali, na Lazaro kifuani mwake” (Lk 16:22-23). “Kwangu mimi kuishi ni Kristo, na kufa ni faida… ninatamani kwenda zangu nikae na Kristo, maana ni vizuri zaidi sana” (Fil 1:21,23). “Nasi tunaona ni afadhali kutokuwamo katika mwili na kukaa pamoja na Bwana” (2Kor 5:8). Kwa kuwa kifo ni “mavumbi kuirudia nchi kama yalivyokuwa, nayo roho kumrudia Mungu aliyeitoa” (Mhu 12:7). Siku ya ufufuo roho na mwili vitaungana tena kwa ajili ya uzima au moto wa milele. “Pumzi iliwaingia, wakaishi, wakasimama kwa miguu yao, jeshi kubwa mno” (Ez 37:10)… soma zaidi

⏬⏬Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu 👉Je, Kanisa linaweza kutuondolea dhambi yoyote?👇

• Sala ya kanisa ni nini?, soma jibu

• Vyanzo vya sala za Kikristo, soma jibu

• Ni ipi sala kubwa ya Kanisa?, soma jibu

• Ni ipi sala bora kwa Bikira Maria?, soma jibu

• Dhambi ya asili ndio nini?, soma jibu

• Adhabu gani walipewa Adamu na Eva?, soma jibu

• Kisha kosa la Adamu na Eva Mungu aliahidi nini?, soma jibu

• Umwilisho maana yake ni nini?, soma jibu

• Kanisa linafafanuaje fumbo la umwilisho?, soma jibu

• Bikira Maria kukingiwa dhambi ya asili maana yake ni nini?, soma jibu

• Kanisa Katoliki ni nini?, soma jibu

• Ni nini Msingi wa Imani na Mafundisho ya Kanisa Katoliki?, soma jibu

• Ni nani ameanzisha Kanisa Katoliki?, soma jibu

• Yesu aliweka makanisa mangapi? Yesu hakufanya makanisa mengi?, soma jibu

• Kwa kusudi gani Yesu alianzisha Kanisa?, soma jibu

• Kanisa linatimiza kusudi la Yesu Kristo kwa namna gani?, soma jibu

• Alama za kanisa la kweli ni zipi?, soma jibu

• Kanisa ni Moja maana yake ni nini?, soma jibu

• Kanisa ni Takatifu maana yake ni nini?, soma jibu

• Kanisa ni Katoliki maana yake ni nini?, soma jibu

• Kanisa ni la Kitume maana yake ni nini?, soma jibu

• Kanisa ni la Kimisionari maana yake ni nini?, soma jibu

• Yesu amemweka nani kuwa mkubwa wa Kanisa?, soma jibu

• Kanisa Katoliki laweza kudanganya katika mafundisho yake?, soma jibu

• Jimbo Katoliki ni nini?, soma jibu

• Tuwaonaje Wakristo ambao sio Wakatoliki?, soma jibu

• Nje ya Kanisa Katoliki hakuna Wokovu maana yake ni nini?, soma jibu

• Taifa la Mungu limeundwa kwa namna gani?, soma jibu

• Maklero ni wakina nani?, soma jibu

• Watawa ni akina nani?, soma jibu

• Walei ni wakina nani?, soma jibu

• Ushirika wa Watakatifu ni nini?, soma jibu

• Ni kwa nini Bikira Maria anaitwa Mama wa Mungu? Na kwa nini aheshimiwe?, soma jibu

• Ni kwa nini Bikira Maria anaitwa Mama wa Kanisa?, soma jibu

• Bikira Maria anafaida yeyote kwa Kanisa?, soma jibu

• Nafasi ya Heshima kwa Bikira Maria ni ipi?, soma jibu

• Kwa nini wakatoliki wanaweka sanamu Kanisani?, soma jibu

• Mungu akiwa wema mkuu na mwenye uwezo wote, mbona katika viumbe vyake kuna ubaya? Kwa nini Mungu anaruhusu mabaya na maovu?, soma jibu

• Je, inafaa tushike neno lolote la Agano la Kale kama Wayahudi?, soma jibu

• Je, ufunuo wa Mungu unaweza kufafanuliwa rasmi na kila mtu?, soma jibu

• Tupokeeje ufunuo wa Mungu?, soma jibu

• Tunaweza kusadiki vipi?, soma jibu

• Je, miujiza inaweza kutusaidia tusadiki?, soma jibu

• Kanisa linahusika vipi na imani?, soma jibu

• Je, tukipata mafundisho ya Kanisa tunapaswa kuyasadiki?, soma jibu

• Tunapaswa kusadiki hasa nini?, soma jibu

• Je, Mungu amegawanyika sehemu tatu?, soma jibu

• Mungu angeweza kuzuia watu wasitende dhambi?, soma jibu

• Je, toka mwanzo sisi watu tunaasi mpango wa Mungu peke yetu?, soma jibu

• Je, dhambi zote zinahusiana?, soma jibu

• Dhambi zimetuathiri vipi tena?, soma jibu

• Katika unyonge wetu tutumainie nini?, soma jibu

• Yesu ni Mungu au mtu?, soma jibu

• Kwa nini Maria anastahili kuitwa “Mama wa Mungu”?, soma jibu

• Kwa nini Yesu alishawishiwa/alijaribiwa na Shetani?, soma jibu

• Kwa nini Yesu aliteswa hadi kuuawa msalabani?, soma jibu

• Kanisa maana yake nini?, soma jibu

• Je, Kanisa ni kundi la binadamu tu?, soma jibu

• Je, tunaweza kuambatana na Yesu tukilikataa Kanisa?, soma jibu

• Je, Kanisa ni muhimu kwa wote?, soma jibu

• Wokovu unapatikana wapi?, soma jibu

• Mtu akijua Kanisa ni la lazima kwa wokovu asiingie au ajitenge nalo, itakuwaje?, soma jibu

• Je, anayejiunga na Kanisa na kudumu ndani yake ana hakika ya kuingia mbinguni?, soma jibu

• Sifa kuu za Kanisa ni zipi na zinapatikana wapi?, soma jibu

• Kanisa kuwa moja maana yake nini?, soma jibu

• Kanisa kuwa takatifu maana yake nini?, soma jibu

• Kanisa kuwa katoliki maana yake nini?, soma jibu

• Kanisa kuwa la Mitume maana yake nini?, soma jibu

• Kanisa limepewa na Yesu muundo gani?, soma jibu

• Je, Yesu amejenga Kanisa lake imara juu ya mwamba?, soma jibu

• Papa amejaliwa na Mungu mamlaka gani?, soma jibu

• Maaskofu wote wamerithi mamlaka gani?, soma jibu

• Maaskofu wanasaidiwa na nani?, soma jibu

• Bila ya Maaskofu, mapadri na mashemasi, Kanisa lingekuwaje?, soma jibu

• Walei wanaitwa na Mungu kufanya nini?, soma jibu

• Watawa wanashika mashauri gani ya Kiinjili?, soma jibu

• Ushirika wa watakatifu maana yake nini?, soma jibu

• Ekaristi maana yake nini? Je ni kweli Yesu yupo katika Maumbo ya Mkate na Divai?, soma jibu

• Yesu aliweka Kitubio na Mpako wa Wagonjwa kwa sababu gani?, soma jibu

• Mungu aliwapa watu (mapadri) amri/uwezo ya kusamehe dhambi kwa njia ya nani? Ni halali kuungama kwa padre?, soma jibu

• Mungu aliwapa watu amri ya kusamehe dhambi zipi?, soma jibu

• Mungu aliwapa watu amri ya kusamehe dhambi kwa sababu gani?, soma jibu

• Je, tumuendee padri ili kuondolewa dhambi?, soma jibu

• Tumuungamie padri dhambi zetu kwa lengo gani? Kwa nini Wakatoliki wanaungama kwa padri?, soma jibu

• Je, padri akiwa mkosefu, anaweza kutuondolea dhambi?, soma jibu

• Je, nje ya kitubio tunaweza kuondolewa dhambi tuliyotenda baada ya ubatizo?, soma jibu

• Je, daraja takatifu zinahitajiwa kabisa na Kanisa?, soma jibu

• Je, wenye daraja wanastahili heshima?, soma jibu

• Kanisa linaheshimu marehemu kwa namna gani?, soma jibu

• Dhambi za uchafu huleta hasara gani?, soma jibu

• Mambo yanayomzuia mtu kuishi maisha mema ni yapi?, soma jibu

• Dhambi ni nini?, soma jibu

• Je kuna aina tofauti ya dhambi?, soma jibu

• Dhambi zinatofautianaje katika uzito?, soma jibu

• Dhambi ya mauti ni nini?, soma jibu

• Dhambi ya Mauti hutupotezea nini?, soma jibu

• Anayekufa akiwa na dhambi ya mauti huenda wapi?, soma jibu

• Dhambi nyepesi ni nini?, soma jibu

• Dhambi nyepesi hutupotezea nini?, soma jibu

• Adhabu ya dhambi ndogo ni nini?, soma jibu

• Je, Tunawajibika kwa dhambi zilizotendwa na wengine?, soma jibu

• Dhambi zinazomlilia Mungu ni zipi?, soma jibu

• Sakramenti ya Kitubio ni nini?, soma jibu

• Lini na kwa maneno gani Yesu aliweka Sakramenti ya Kitubio?, soma jibu

• Mwenye kuwaondolea watu dhambi ni nani?, soma jibu

• Nani yampasa kupokea Sakramenti ya Kitubio?, soma jibu

• Mkristo akitaka kupokea Sakramenti ya Kitubio yampasa nini?, soma jibu

• Wakati wa Sakramenti ya Kitubio Utamwomba Roho Mtakatifu kwa sala gani?, soma jibu

• Kutafuta dhambi maana yake ni nini?, soma jibu

• Utafuteje dhambi wakati wa kujiandaa kuungama?, soma jibu

• Kutubu dhambi maana yake ni nini?, soma jibu

• Kwa nini tujute dhambi zetu?, soma jibu

• Kuna majuto ya namna ngapi?, soma jibu

• Majuto kamili ni nini?, soma jibu

• Majuto yasiyo kamili au majuto pungufu ni nini?, soma jibu

• Asiyejuta aweza kuondolewa dhambi?, soma jibu

• Kabla ya kuungama ni lazima kufanya nini?, soma jibu

• Anayetaka kweli kuacha dhambi afanye nini?, soma jibu

• Kuungama ni kufanya nini?, soma jibu

• Anayeficha kusudi dhambi ya mauti katika ungamo anaondolewa?, soma jibu

• Anayekufuru Sakramenti ya Kitubio yampasa nini?, soma jibu

• Padri anaondolea dhambi mahali pa nani?, soma jibu

• Padri anaondolea dhambi kwa maneno gani?, soma jibu

• Kitubio tuwezacho kupewa na padre ni nini?, soma jibu

• Kitubio tupewacho na padre chatosha?, soma jibu

• Kutimiza malipizi maana yake ni ni nini?, soma jibu

• Kwa Sakramenti ya Kitubio tunapata neema zipi?, soma jibu

• Mkristo akipokea Ekaristi Takatifu akiwa na dhambi rohoni anatenda dhambi gani?, soma jibu

• Je, Kanisa linahimiza waamini wapokee Ekaristi wakati gani?, soma jibu

• Biblia ni nini? Asili, Historia, waandishi na mipaka yake, soma jibu

Usisahau kulike na kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Je, Kanisa linaweza kutuondolea dhambi yoyote?. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Ujumbe wangu kwako kwa sasa wa Kutafakari

"Kama yalivyo maisha ya kimwili, maisha ya kiroho pia yanahitaji mipango. Kila siku panga utafanya nini kiroho, mfano unaweza kupanga sala, kusaidia masikini, kuwa mpole au mwema. Vivyo hivyo kila wiki, kila mwezi na kila mwaka mpya panga cha kufanya kiroho naye Mungu atakubariki na kukupangia zaidi. Huwezi kufanikiwa kiroho kama hujui unafanya nini kiroho."

Mungu Akubariki Daima. Tukumbukane katika sala.

Endelea kusoma makala hizi;

a.gif JE, WAKATOLIKI WANABUDU SANAMU?
Mpenzi msomaji, kumekuwa na tuhuma nyingi dhidi ya wakatoliki kwamba wanaabudu sanamu. Je, tuhuma hizo zina ukweli gani? Hilo ndilo swali tunalotaka kujibu leo… soma zaidi
a.gif Swali la kutisha
SWALI LA KUTISHA: *Ikiwa ela unayotoa kanisani ingetumika kujenga nyumba yako mbinguni, ingekuwa imefikia wapi hivi sasa? Nauliza tu, wengi tunaweza kuwa wakimbizi mbinguni*.. soma zaidi
a.gif Soma hii stori unaweza ukajifunza kitu
Kijana mmoja alisafiri kwa meli na rafiki zake,
wakiwa katikati ya safari yao meli ilianza
kuzama. Watu wengi pamoja na rafiki wa yule
kijana walikufa maji wakati wanajaribu kujiokoa
kwa kuogelea, lakini yule kijana alifanikiwa
kushika ubao ulioelea majini akaanza kuelea nao,
maji yalimpeleka hadi kisiwa cha mbali sana
ambako hakukuwa na watu wala wanyama
isipokuwa wadudu tu! Alifika ufukweni amechoka
sana na asiyeamini tukio lililotokea, akaishi huko
kwa kula matunda… soma zaidi
a.gif Tujifunze kitu hapa
Siku moja mwanamke alitoka nje ya nyumba na kuwaona wazee watatu wenye mvi kichwani wakiwa wamekaa nje ya nyumba yake.
Hakuwatambua na wala hakuwa anawafahamu… soma zaidi
a.gif Tafakari ya leo ya Katoliki kuhusu Uaminifu
Uaminifu ni kipimo na kigezo cha Ukamilifu na Utakatifu… soma zaidi
a.gif Mungu ni Mkubwa
Mtoto mmoja alimuuliza baba yake. "Baba, hivi Mungu ni mkubwa kiasi gani?" Baba yake akatazama juu angani akaona ndege ya abiria akamuuliza mwanae "mwanangu, ile ndege ina ukubwa Gani?" Mtoto akajibu ni ndogo sana.
Basi Baba yake akamchukua hadi uwanja wa ndege walipofika karibu na ndege akamuonesha ndege akamuuliza " ile ndege ina ukubwa gani?? Mtoto akajibu "Hiyo Ndege ni Kuuuubwa sana" basi Baba yake akamwambia.. soma zaidi
a.gif Maswali na majibu kuhusu Amri za Kanisa
Fahamu kuhusu Amri za Kanisa kwa kusoma Maswali na Majibu haya;.. soma zaidi
a.gif Tafakari ya leo ya Katoliki kuhusu upendo
Katika fadhila zote, upendo ndio unaonyesha uwepo wa fadhila nyingine.. soma zaidi
a.gif Sakramenti ya Mpako wa Wagonjwa
Maswali na majibu kuhusu Sakramenti ya Mpako Mtakatifu;.. soma zaidi
a.gif Maombi Saba Yaliyo Katika Sala ya Baba yetu
Maombi saba kwenye sala ya Baba yetu ni haya;.. soma zaidi
a.gif Mafundisho ya dini kuhusu Binadamu na Ubinadamu
Kuhusu ubinadamu na Binadamu haya ndiyo maswali ya muongozo;.. soma zaidi

Fwatilia Website hii kwenye Email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo

Ikiwemo Makala hii ya Je, Kanisa linaweza kutuondolea dhambi yoyote?, makala nyingine zinazosomwa sana ni kama ifuatavyo;

• Zingatia hili kuokoa nafsi yako, isome hapa

• Biblia inatuambia nini kuhusu pombe?, isome hapa

• Maswali na majibu kuhusu Biblia, isome hapa

• JE, WAKATOLIKI WANABUDU SANAMU?, isome hapa

• Mafundisho ya kumfundisha mtu mzima kabla ya ubatizo wa hatari, isome hapa

• Swali la kutisha, isome hapa

• Soma hii stori unaweza ukajifunza kitu, isome hapa

• Tujifunze kitu hapa, isome hapa

• Kuumbwa kwa mtu, Mungu alivyoumba binadamu, isome hapa

• Kuumbwa kwa Dunia, isome hapa

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Je, Kanisa linaweza kutuondolea dhambi yoyote?, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

Mtakatifu-Gemma-Galgani.jpg

Mtakatifu wa Sasa
Leo tunatafakari na kujifunza kutoka kwa Mtakatifu Gemma Galgani.
Soma zaidi kuhusu Mtakatifu Gemma Galgani hapa.

Chagua aina ya mafundisho unayotaka kusoma hapa..

.

.

IMG_20180109_191254.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Anachokiangalia Mungu. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!