YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Ibada ya kutolea Daraja ya uaskofu ina matokeo gani?πŸ‘‡

Ibada ya kutolea Daraja ya uaskofu ina matokeo yafuatayo;

1. Inampa utimilifu wa SSakramenti ya Daraja Takatifu

2. Askofu anakuwa Mwandamizi rasmi wa Mitume

3. Inampa Askofu ushirika na Papa na maaskofu wengine wa kuwajibikia Makanisa yote

4. Inampa uwezo wa kufundisha, kutakasa na kuongoza

βͺSwali lililopita: Sakramenti ya Daraja ina ngazi ngapi?
⏩Swali linalofuata: Askofu ni nani?
⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Ibada ya kutolea Daraja ya uaskofu ina matokeo gani?πŸ‘‡

πŸ“Œ Askofu ni nani?βœ…

πŸ“Œ Baba Mtakatifu ni nani?βœ…

nn.gif