Biblia ni nini? Asili, Historia, waandishi na mipaka yake

Biblia ni mkusanyiko wa vitabu mbalimbali vinavyohusu kazi ya Mungu ya kuwakomboa mwanadamu kuanzia enzi za Mababu na manabii Wa Waisraeli, Enzi za Yesu na za Mitume wa Yesu.

Je, Biblia ilipatikanaje? Nini chanzo na asili ya Biblia.

Biblia iliundwa kwa kukusanya vitabu vya dini vya wakristo hapo awali na kuunda kitabu kimoja. Kwa maana hii, Biblia ni vitabu teule vya dini vilivyoonekana vinafaa kutumika kwa waumini Wakristo ili kusaidia Imani yao. Hivyo basi, kama Biblia ni vitabu teule tuu vipo vitabu vingine vya dini ambavyo havikuwekwa Kwenye Biblia.

Wakristo wa kwanza walichagua vitabu kadhaa na kuviweka pamoja na kisha kuvita Biblia. Biblia ni mkusanyiko wa vitabu muhimu tuu vya dini mpaka kufikia Enzi za Mitume.

Je, Biblia ndicho kitabu pekee cha neno la Mungu?

Hapana, Biblia sio kitabu pekee cha neno la Mungu isipokua Biblia ni kitabu kilichoidhinishwa rasmi kutumika Kama kitabu kikuu cha Wakristo. Hii ni kwa sababu Biblia imeundwa na vitabu muhimu tuu vilivyochaguliwa na wakristo wa kwanza vilivyoonekana vinafaa kwa kufundishia, Ibada na kukuza Imani. Kwa hiyo basi vipo vitabu vingine ambavyo haikuwekwa Kwenye Biblia ambavyo ni Maneno ya Mungu.

Hii ndiyo sababu kwa nini Wakatoliki wana vitabu vingi kuliko madhehebu Mengine. Yaani sababu ni kwamba madhehebu Mengine walivitoa vitabu vingine vilivyounda Biblia. Na Wakatoliki waliweka vitabu vingine vya dini Kwenye Biblia walivyoona vinafaa pia kutumika.

Je nje ya Biblia hakuna Neno la Mungu au Maandiko matakatifu?

Nje ya Biblia kuna Neno la Mungu na Maandiko Matakatifu. Hii Inamaanisha kuwa Biblia sio kitabu pekee cha neno la Mungu. Zipo nyaraka na Vipo vitabu vingine vingi ambavyo viliandikwa na Manabii na Mitume ambavyo havikuwekwa kwenye Biblia lakini ni mafundisho ya Mungu. Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vikuu vya Mungu.

Kumbuka kuwa sio nyaraka zote za Mitume ziliandikwa Kwenye Biblia. Vile vile manabii walikuwa ni wengi kuliko waliowekwa Kwenye Biblia.

Je Biblia ndiyo mafundisho ya Mungu pekee?

Hapana, Biblia sio mafundisho pekee ya Mungu. Hii ni kwa sababu sio mambo yote aliyofanya na kusema Mungu yaliandikwa na vilevile Mitume hawakua watu wa Mwisho kupokea Roho mtakatifu na kupokea neno la Mungu.

Biblia inatuthibitishia yenyewe kuwa haijakamilika na Si mambo yote yameandikwa Kwenye Biblia

Biblia inatuthibitishia kuwa haijakamilika tunaposoma (Yohane 21:25)

Biblia inatuambia hivi…"Kuna mambo Mengine mengi aliyofanya Yesu, ambayo Kama yangeandikwa yote, moja baada ya jingine, nadhani hata ulimwengu wenyewe usingetosha kuviweka vitabu ambavyo vingeandikwa."…Kwa mstari huu Biblia inatuthibitishia kuwa haikuandikwa vitu vyote.

Je Biblia ni mwisho wa Maandiko ya Mungu?

Biblia sio mwisho wa Maandiko ya Kimungu.

Biblia ni sehemu ya maneno ya Mungu mpaka miaka ya Mitume

Hata sasa Mungu anafanya kazi na watu wake kupitia Roho Mtakatifu na kwa kwa sababu hii Biblia sio mwisho wa kazi ya Mungu ya kusema na watu wake.

Mungu yu hai na anafanya kazi na watu wake mpaka sasa kwa kutumia vinywa vya watu Kama aliyofanya hapo awali.

Hata maneno unayohubiriwa sasa yanaweza kuwa ni kutoka kwa Mungu kwa maana hata waandishi wa Biblia walitumiwa na Mungu Kama wahubiri wa sasa. Mungu ni yule yule, Roho Mtakatifu ni yuleyule na Neno ni lile lile.

Kwa hiyo Biblia ni maneno yaliyochaguliwa mpaka enzi za Mitume. Vitabu vilivyofwata Baada ya Mitume japokuwa viliandikwa kwa Roho Mtakatifu havikuwekwa Kwenye Biblia.

Sababu ya Kanisa katoliki kutumia mapokeo na Maandiko ya Watakatifu

Kanisa katoliki linatumia mapokeo na Makala za watakatifu kwa Imani kuwa Mungu yule yule aliyefanya kazi tangu zamani anafanya kazi na watu wake mpaka sasa na hivyo Maandiko ya watu wa Mungu yanafaa kutumika kama yalivyotumika ya watu wa kale.

Yesu alituambia nini kuhusu Neno la Mungu na Mwendelezo wa kazi ya Mungu ya kusema na watu?

Yesu alituambia hivi katika (Yohane 16:12-15).."Ninayo mengi ya kuwaambieni Ila kwa sasa hamuwezi kuyastahimili. Lakini atakapokuja huyo Roho wa Ukweli atawaongoza kwenye ukweli wote. Maana hatasema kwa Mamlaka yake mwenyewe bali atasema atakayoyasikia na kuwajulisheni yatakayokuja. Yeye atanitukuza Mimi kwa kuwa atawajulisheni Yale atakayoyapata kutoka kwangu "…

Sasa basi,kama Roho Mtakatifu ni yuleyule na kazi zake ni Zile Zile za tangu Mitume, kwa nini hatukubali kuwa Anafanya kazi mpaka sasa kupitia watu wa Mungu? Kwa nini tunakataa mafundisho yao? Kwa nini tunashindwa kuelewa kuwa Biblia haikuwa mwisho wa Neno la Mungu? Kwa nini tunakana Mapokeo ya Watakatifu? Kwa nini hatuwaamini watumishi wake wa sasa?

βͺSwali lililopita: Neno "BIBLIA" maana yake ni nini?

⏩Swali linalofuata: Biblia ina sehemu kuu ngapi?

⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Biblia ni nini? Asili, Historia, waandishi na mipaka yakeπŸ‘‡

πŸ“Œ Sala ya kanisa ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Vyanzo vya sala za Kikristo, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Roho Mtakatifu ana nafasi gani katika sala?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni ipi sala kubwa ya Kanisa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni ipi sala bora kwa Bikira Maria?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Dhambi ya asili ndio nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Adhabu gani walipewa Adamu na Eva?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kisha kosa la Adamu na Eva Mungu aliahidi nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Neno Bwana lina maana gani katika Biblia?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Umwilisho maana yake ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa linafafanuaje fumbo la umwilisho?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Bikira Maria kukingiwa dhambi ya asili maana yake ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kusadiki kwa Roho Mtakatifu maana yake ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Majina mengine ya Roho Mtakatifu ni yapi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni alama zipi zinawakilisha Roho Mtakatifu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Neno Manabii maana yake ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Roho Mtakatifu aliwashukia Mitume siku gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Roho Mtakatifu aliwafanyia nini Mitume?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Roho Mtakatifu anatufanyia nini sisi Wakristo?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Roho Mtakatifu anatutakasa kwa namna gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa Katoliki ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni nini Msingi wa Imani na Mafundisho ya Kanisa Katoliki?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni nani ameanzisha Kanisa Katoliki?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu aliweka makanisa mangapi? Yesu hakufanya makanisa mengi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kwa kusudi gani Yesu alianzisha Kanisa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa linatimiza kusudi la Yesu Kristo kwa namna gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Alama za kanisa la kweli ni zipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa ni Moja maana yake ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa ni Takatifu maana yake ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa ni Katoliki maana yake ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa ni la Kitume maana yake ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa ni la Kimisionari maana yake ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu amemweka nani kuwa mkubwa wa Kanisa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa Katoliki laweza kudanganya katika mafundisho yake?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Jimbo Katoliki ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tuwaonaje Wakristo ambao sio Wakatoliki?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Nje ya Kanisa Katoliki hakuna Wokovu maana yake ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Taifa la Mungu limeundwa kwa namna gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Maklero ni wakina nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Watawa ni akina nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Walei ni wakina nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ushirika wa Watakatifu ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni kwa nini Bikira Maria anaitwa Mama wa Mungu? Na kwa nini aheshimiwe?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni kwa nini Bikira Maria anaitwa Mama wa Kanisa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Bikira Maria anafaida yeyote kwa Kanisa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Nafasi ya Heshima kwa Bikira Maria ni ipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kwa nini yatupasa kuwaheshimu Watakatifu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, tuna ruhusa ya kuwaabudu Watakatifu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kwa nini wakatoliki wanaweka sanamu Kanisani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tunawaheshimu Watakatifu namna gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mapokeo ya Mitume ndiyo nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Maandiko Matakatifu ndiyo nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Biblia zote ni sawa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tunatambuaje Maandiko Matakatifu kati ya maandishi yote ya binadamu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Sababu nyingine za Biblia kutojitosheleza ni zipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Biblia iliandikwa kwa kusudi gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, vitabu vya Biblia vinatofautiana?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, vitabu vyote vya Biblia vinahusiana?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, inafaa tushike neno lolote la Agano la Kale kama Wayahudi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu alitimiliza Agano la Kale kwa namna isiyotarajiwa hasa lini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kati ya vitabu vya Biblia, vilivyo bora ni vipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tueleweje Maandiko Matakatifu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, ufunuo wa Mungu unaweza kufafanuliwa rasmi na kila mtu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tupokeeje ufunuo wa Mungu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tunaweza kusadiki vipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, miujiza inaweza kutusaidia tusadiki?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa linahusika vipi na imani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, tukipata mafundisho ya Kanisa tunapaswa kuyasadiki?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tunapaswa kusadiki hasa nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Mungu amegawanyika sehemu tatu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kwa nini Maria anastahili kuitwa β€œMama wa Mungu”?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Roho Mtakatifu ni nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, kazi zote za Roho Mtakatifu zinahusiana na Yesu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa maana yake nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Kanisa ni kundi la binadamu tu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, tunaweza kuambatana na Yesu tukilikataa Kanisa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Kanisa ni muhimu kwa wote?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Wokovu unapatikana wapi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mtu akijua Kanisa ni la lazima kwa wokovu asiingie au ajitenge nalo, itakuwaje?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, anayejiunga na Kanisa na kudumu ndani yake ana hakika ya kuingia mbinguni?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Sifa kuu za Kanisa ni zipi na zinapatikana wapi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa kuwa moja maana yake nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa kuwa takatifu maana yake nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa kuwa katoliki maana yake nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa kuwa la Mitume maana yake nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa limepewa na Yesu muundo gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Yesu amejenga Kanisa lake imara juu ya mwamba?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Papa amejaliwa na Mungu mamlaka gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Maaskofu wote wamerithi mamlaka gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Maaskofu wanasaidiwa na nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Bila ya Maaskofu, mapadri na mashemasi, Kanisa lingekuwaje?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Walei wanaitwa na Mungu kufanya nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Watawa wanashika mashauri gani ya Kiinjili?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ushirika wa watakatifu maana yake nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Kanisa linaweza kutuondolea dhambi yoyote?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tutakapofariki dunia itatutokea nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, watoto wachanga wanaweza kubatizwa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mbona watoto wachanga hawawezi kuelewa kinachofanyika wakati wa ubatizo halafu wanabatizwa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, imani ya watu wazima inaweza kufaidisha watoto?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ubatizo wa watoto wachanga unafanyika tangu lini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, ubatizo tuu unatosha?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Pamoja na kuwekewa mikono na mwandamizi wa Mitume, mtu anapewa kipaimara vipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kumpokea Roho Mtakatifu maana yake nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tukimpokea Roho Mtakatifu papo hapo tunapokea pia nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, tunaweza kuhakikisha neema ya utakaso?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, karama ni zile za kushangaza tu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Karama nyingine muhimu zinatuwezesha kufanya nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Karama zinagawiwa vipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Karama za kushangaza zina hatari gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tunda la kuongozwa na Roho Mtakatifu ni lipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ekaristi maana yake nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, divai (pombe) ni halali?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Hatimaye Yesu alitumia divai kufanyia nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, ekaristi ni kafara (sadaka)?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, padri akiwa mkosefu, anaweza kutuondolea dhambi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, daraja takatifu zinahitajiwa kabisa na Kanisa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, wenye daraja wanastahili heshima?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, wenye daraja wanaweza wakatenda dhambi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa linatoa visakramenti kwa nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Lengo kuu la visakramenti ni lipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa linaheshimu marehemu kwa namna gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Roho Mtakatifu anatusaidiaje kusali?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Roho Mtakatifu anaweza kutufikisha hadi wapi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, sala inaweza kuwaendea Mama na marafiki wa Yesu (Watakatifu)?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mwenye kuwaondolea watu dhambi ni nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni wakati gani katika Misa Mkate na Divai vinageuka Mwili na Damu yake Kristo?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Divai iliyotumiwa na Yesu ilikua na Kilevi (pombe)?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Kanisa linahimiza waamini wapokee Ekaristi wakati gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Sakramenti ya Kipaimara ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Nini maana ya Roho Mtakatifu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Roho Mtakatifu Katika mfano wa ndimi za Moto Maana yake nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Roho Mtakatifu anawafanyia Waamini nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni kwa namna gani Roho Mtakatifu Anatutakasa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni kwa namna gani Roho Mtakatifu anatenda kazi zake?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kwa nini Sakramenti hii inaitwa Kipaimara?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Roho Mtakatifu anakuja kufanya nini rohoni mwetu kwa Kipaimara?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mapaji Saba ya Roho Mtakatifu ndio nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mapaji saba ya Roho Mtakatifu ni yapi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Hekima ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Akili ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Shauri ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Nguvu ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Elimu ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ibada ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Uchaji wa Mungu ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Roho Mtakatifu hutajwa wapi katika Rozari?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kabla ya Kupaa mbinguni Yesu aliwaahidi nini Mitume?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Yatupasa kumwomba Roho Mtakatifu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Matunda ya kuongozwa na Roho Mtakatifu ni yapi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Visakramenti ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kwa nini tunatumia Visakramenti?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni visakramenti gani hutumika mara nyingi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tuvitumie visakramenti kwa namna gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tuchukue tahadhari gani tunapotumia visakramenti?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Nini faida ya Visakramenti?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Neno "BIBLIA" maana yake ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Biblia ina sehemu kuu ngapi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Agano la Kale lina vitabu vingapi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Agano Jipya lina vitabu vingapi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Biblia nzima ina vitabu vingapi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Vitabu vya Agano la Kale vimegawanywa katika sehemu ngapi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Vitabu vya Agano Jipya Vimegawanywa katika sehemu ngapi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Vitabu vya Musa ni vipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Wainjili wanne Katika Agano Jipya ni wakina nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kitabu cha kwanza na cha mwisho katika Agano la Kale ni vipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kitabu cha kwanza na cha mwisho katika Agano Jipya ni vipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Injili ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Watoto wawili wa Adamu na Eva walkikuwa wepi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Watoto wa Nuhu ni wepi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mababu watatu wa Imani Katika Biblia ni wakina nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Watoto wa Yakobo ni Wepi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Nani aliwatoa Waisraeli MIsri na Kuwaongoza Katika nchi ya Ahadi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mungu alimpa Musa Amri Kumi wapi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Vitabu vya Historia katika Biblia ni vipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Vitabu vya manabii katika Biblia ni vipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Vitabu vya Hekima Katika Biblia ni Vipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Nyaraka za Mitume katika Biblia ni zipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Bikira Maria alikua na watoto wengine Mbali na Yesu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Baba wa Yesu Kristo ni nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Baba Mlishi wa Yesu Kristu ni nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu Kristu alizaliwa wapi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Nini maana ya Jina Bethlehemu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu Kristu aliishi wapi kabala ya kuanza kazi yake?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mtangulizi wa Yesu Kristu ni nan?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Wazazi wa Yohani Mbatizaji ni nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Wazazi wa Bikira Maria ni nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mitume kumi na wawili wa Yesu Kristu ni wapi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Baba Mtakatifu wa kwanza ni nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Nani ni Mitume wa Mataifa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Nani ni shahidi wa kwanza katika Agano Jipya?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu Alianza kuhubiri injili kwa maneno gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu alitukomboa kwa hatua zipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Sentesi saba za Yesu msalabani ni zipi?, soma jibu hapaβœ…


.

.

.

SHINE-MELKISEDECK.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Uzuri wa Mungu. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!