Baba Mtakatifu ni nani?

1. Ndiye Askofu Mkuu wa Maaskofu wote

2. Ndiye mchungaji mkuu wa Wakatoliki wote hapa duniani

3. Ni Wakili wa Yesu Kristo hapa duniani. (Mt 16:18-19; Yoh 21:15-17).

.

.

IMG_20180109_192020.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Kutubu ni njia ya kumrudia Mungu. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!