YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Baada ya mageuzo Yesu anabaki katika ekaristi mpaka lini?πŸ‘‡

Baada ya mageuzo Yesu anabaki katika ekaristi moja kwa moja. Maumbo ya mkate na divai yanazidi kudokeza uwepo wake kama chakula na kinywaji chetu, hata kwa faida ya wagonjwa na wengineo wasiohudhuria. Ndiyo sababu tunazidi kumuabudu katika ekaristi, ingawa hatumuoni. β€œTomaso alijibu, akamwambia, β€˜Bwana wangu na Mungu wangu!’ Yesu akamwambia, β€˜Wewe, kwa kuwa umeniona, umesadiki; wa heri wale wasioona, wakasadiki” (Yoh 20:28-29).

⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Baada ya mageuzo Yesu anabaki katika ekaristi mpaka lini?πŸ‘‡

πŸ“Œ Ekaristi maana yake nini?βœ…

πŸ“Œ Tabernakulo ni nini?βœ…

πŸ“Œ Komunyo pamba ndio nini?βœ…

kj.gif