YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Askofu ana kazi gani katika Jimbo lake?πŸ‘‡

Askofu katika Jimbo lake anamwakilisha Kristo akitimiza kazi ya kichungaji akisaidiwa na mapadri na mashemasi wake.

Askofu ni kiongozi wa kiroho katika jimbo mahalia. Na sio mambo ya kiroho tu ila hata ya kijamii lakini watu/mtu akiitaji ufafanuzi na msaada toka kwake.

Kazi zake ni:-

1. Kuliongoza taifa la Mungu alilopewa yaani wakristo/wengineo pia

2. Kusimamia na kuongoza Litrujia katika eneo husika.

3. Kueneza amani kwa kupitia karama na wadhifa aliopewa na Mungu.

4. Kueneza upendo katika eneo/jimbo mahalia.

5. Mtoa kauli ya mwisho kwa mambo ya kikanisa katika jimbo.

6. Kusimamia miito ya kanisa na kuchochea bila kukata tamaa

7. Kusimamia baraza la walei na kulishauri kwa kutolea kauli ya Mwisho kabla ya kwenda kwingine

8. Kuwashauri watu waliokata tamaa au kushindikana katika ngazi za chini

NB. Hivyo ndani ya kanisa kuna miogozo ili kupata nafasi zisizokinzana

βͺSwali lililopita: Askofu ni nani?
⏩Swali linalofuata: Ni nani ampaye padri Daraja la Uaskofu?
⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Askofu ana kazi gani katika Jimbo lake?πŸ‘‡

πŸ“Œ Askofu ni nani?βœ…

πŸ“Œ Baba Mtakatifu ni nani?βœ…

Marafiki-wa-enzi.GIF