YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Unamashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

By Melkisedeck Leon Shine

.

πŸ‘‰β” Anayevunja ndoa na kuoa au kuolewa anaweza kupokea Sakramenti?πŸ‘‡

Hapana, Anayevunja maagano ya ndoa na kuoa au kuolewa hawezi kupokea Sakramenti ya Ekaristi wala Kitubio hadi afanye toba na kurekebisha hali hiyo. (Mk 10:11-12)

βͺSwali lililopita: Je, ndoa halali inaweza kuvunjwa?
⏩Swali linalofuata: Ni nani wahudumu wa Sakramenti ya ndoa?
⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Anayevunja ndoa na kuoa au kuolewa anaweza kupokea Sakramenti?πŸ‘‡
IMG_20170703_130916.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

Kila jambo lina Mkono wa Mungu juu yake hata kama limefanyika bila kupangwa au kukusudiwa. Mbele ya Mungu hakuna kitu kinachofanyika kwa Ajali au bahati mbaya.

Mungu Akubariki Daima… Tuombeane!