Amri ya Nne ya Mungu tumeamriwa nini?

Tumeamriwa tuwaheshimu wazazi wetu na wakubwa wote, tuwapende, tuwatii na tuwaombee. (Kut 20:12), Kol 3:20

⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Amri ya Nne ya Mungu tumeamriwa nini?πŸ‘‡

πŸ“Œ Katika Amri ya nne ya Mungu tumeamriwa nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kwa sababu gani yatupasa kuwaheshimu Baba na Mama?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Wazazi na wakubwa wameamriwa nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tuwaheshimu Baba na Mama kwa matendo gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Twawakosea Heshima Baba na Mama kwa kufanya nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Wazazi wawaleeje watoto wao katika imani ya Kikristo?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Lini tunakatazwa kuwatii watu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Katika Amri ya Nne ya Mungu tumekatazwa nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Wakubwa tunaopaswa kuwaheshimu ni kina nani?, soma jibu hapaβœ…


.

.

.

images-10.jpeg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Tumaini kwa Mungu. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!