YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Website Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Amri ya Nane ya Mungu inatukataza nini?πŸ‘‡

Inakataza:

1. Ushahidi wa uongo, kiapo cha uongo na uongo wowote.

2. Hukumu isiyo ya haki, usengenyaji, uchafuzi wa jina na usingiziaji.

3. Kusifu watu uongo, kujisifu mwenyewe au ulaghai.

⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Amri ya Nane ya Mungu inatukataza nini?πŸ‘‡
ml.gif