YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Adhimisho la Liturujia Hutumia Ishara na Alama zipi?πŸ‘‡

Adhimisho la Liturujia Hutumia Ishara na Alama zinazohusiana na uumbaji, maisha ya binadamu na historia ya wokovu; nazo ni mwanga, maji, moto, kuosha mikono/kupaka mafuta kumega mkate, kuwekea mikono n.k

⏩Swali linalofuata: Nani huadhimisha Liturujia?
⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Adhimisho la Liturujia Hutumia Ishara na Alama zipi?πŸ‘‡
Ndugu.gif