Ungepaswa kusoma kwanza haya;

Adhabu za dhambi huondolewa kwa namna gani? Jinsi ya kupata rehema

Adhabu za dhambi huondolewa kwa;

1. Kufanya malipizi au majuto kamili

2. Kuvumilia taabu na mateso katika maisha

3. Kuvishinda vishawishi na majaribu

4. Kusali sala mbalimbali

5. Kuomba Misa kwa ajili hiyo.

6. Kusoma neno la Mungu na kulitafakari na kulinganisha na maisha yetu ya kila siku

7. Utakaso wa Toharani kama adhabu hizi hazikuondolewa duniani

⏩Swali linalofuata: Kipimo cha Rehema ni nini?

Maswali ya kuendelea

⏬⏬Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu 👉Adhabu za dhambi huondolewa kwa namna gani? Jinsi ya kupata rehema👇

• Rehema ni nini?, soma jibu

• Rehema hutolewa na nani?, soma jibu

• Kuna Rehema za namna ngapi?, soma jibu

• Rehema kamili ni nini?, soma jibu

• Rehema isiyo kamili (pungufu) ni nini?, soma jibu

• Kipimo cha Rehema ni nini?, soma jibu

• Mtu akitaka kupata Rehema za Kanisa Katoliki yampasa nini?, soma jibu

Usisahau kulike na kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Adhabu za dhambi huondolewa kwa namna gani? Jinsi ya kupata rehema. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Ujumbe wangu kwako kwa sasa wa Kutafakari

"Kumtafuta Mungu ni jukumu la mtu binafsi na nafsi yake. Huwezi kumfuata Mungu kwa kufwata njia ya wengine. Njia yako ya kukuwezesha kumfikia Mungu ni tofauti na wengine, Kwa maana Mungu amemwita kila mtu kwa namna ya kipekee."

Mungu Akubariki Daima. Tukumbukane katika sala.

Endelea kusoma makala hizi;

a.gif Mungu na Mikogo yake
Mimi sio msomi wa Biblia na wala sio muhibiri, lakini kwa nilipofanikiwa kuisoma na kuielewa Biblia nimegundua jambo:-
Watu wote wa kiagano katika Biblia(Bible Covenant People), walifanikiwa sana wakati wa nyakati ngumu na zenye changamoto kali. Angalia mifano:-.. soma zaidi
a.gif Mpende mkeo, okoa nyumba yako leo
Mpende mke wako mzuri
Usimkaripie mke wako ukiwa unaongea nae. Inamuumiza sana.
Mithali 15:1.. soma zaidi
a.gif Utaratibu wa Mkristo Mkatoliki Kanisani
Ninapoingia kanisani nachovya maji ya baraka na kusema;
"Unitakase Ee Bwana mimi na uovu wangu wote, ili nipate kustahili kushiriki ibada takatifu' Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu" Amina!.. soma zaidi
a.gif Tofauti ya Sala na Maombi
Sala na Maombi vinatofautiana kama ifuatavyo;.. soma zaidi
a.gif MAANA YA SALA KWA MKRISTO
Sala ni kuinua mioyo yetu kwa Mungu na kuongea nae. Watu wote wanapaswa kusali, wema na wabaya. Inatupasa kusali kila siku bila kukata tama kwa ibada, kwa matumaini na kwa saburi. Kama mfano Yesu Alitufundisha sala ya Baba yetu.
Yatupasa kuwaombea wengine, watu wote wenye shida wakosefu na hata maadui zetu, vilevile tumtolee Mungu shukrani kila wakati na hasa kwa kuadhimisha Ekaristi Takatifu… soma zaidi
a.gif Maana ndefu ya Ishara ya msalaba
_Ishara ya msalaba ina maana ndefu sana!_.. soma zaidi
a.gif Chagua kunyamaza: Huu ni ushauri kwa Leo
MITHALI 11:12 Asiye na akili humdharau mwenziwe; Bali mtu aliye na ufahamu hunyamaza… soma zaidi
a.gif Usipite bila kusoma kisa hiki cha kusisimua
Siku moja jioni katika mji flani, kulikuwa na basi likisafiri kutoka mji huo kuelekea mji mwingine. Lilikuwa ni basi kubwa na limejaa abiria. Wakati wakiendelea na safari, ghafla, mvua kubwa iliyoambatana na radi ikaanza kunyesha. Dereva hakuogopa, wala abiria, wakaendelea na safari. Mara wakati wanaenda, radi ikaanza kufuatilia gari. Kila wakienda, radi inapiga karibu na basi kana kwamba inalifuata basi. Likisimama, radi inapiga pembezoni mwa basi… soma zaidi
a.gif Biblia inavyomshauri mwanaume Kuhusu mke wake
Mpende mke wako mzuri
Usimkaripie mke wako ukiwa unaongea nae. Inamuumiza sana.
Mithali 15:1.. soma zaidi
a.gif Zawadi ya Kipekee kwa mtu
Kuna Zawadi moja ya Kipekee ya kumpa mtu ambayo ni.. soma zaidi

Fwatilia Website hii kwenye Email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo

Ikiwemo Makala hii ya Adhabu za dhambi huondolewa kwa namna gani? Jinsi ya kupata rehema, makala nyingine zinazosomwa sana ni kama ifuatavyo;

• Uelewa wa namba katika Biblia, isome hapa

• Mambo yanayorudisha kwaya Katoliki nyuma, isome hapa

• Sala Mbalimbali za katoliki, isome hapa

• Mungu na Mikogo yake, isome hapa

• Mpende mkeo, okoa nyumba yako leo, isome hapa

• Utaratibu wa Mkristo Mkatoliki Kanisani, isome hapa

• MAFUNDISHO SAHIHI KUHUSU MWILI NA DAMU YA YESU KRISTU | BIBLIA INAVYOELEZA KUHUSU EKARISTI, isome hapa

• Tofauti ya Sala na Maombi, isome hapa

• Yesu alihalalisha ulaji wa vyakula vyote, Hakuna chakula kinachoweza kumtia mtu unajisi, isome hapa

• Swala la Mapadri kutooa limeandikwa wapi katika Biblia?, isome hapa

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Adhabu za dhambi huondolewa kwa namna gani? Jinsi ya kupata rehema, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

Mtakatifu-Gemma-Galgani.jpg

Mtakatifu wa Sasa
Leo tunatafakari na kujifunza kutoka kwa Mtakatifu Gemma Galgani.
Soma zaidi kuhusu Mtakatifu Gemma Galgani hapa.

Chagua aina ya mafundisho unayotaka kusoma hapa..

.

.

SHINE-MELKISEDECK.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Upendo na ubinafsi. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!