Tafuta

Tafuta ndugu zako hapa Utawapata kirahisi zaidi

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ Zaidi ya watu 100 wapoteza maisha nchini INDIA kwa MafurikoπŸ‘‡βœ”

5428mafuriko%20nchini%20india.jpg&width=600

Zaidi ya watu MIA MOJA wameripotiwa kupoteza maisha kufuatia mvua kubwa iliyotokea nchini INDIA.

Mvua hiyo pia imesababisha zaidi ya watu elfu kumi kupoteza makazi yao na hivyo kuhifadhiwa katika kambi maalum nchini humo.

Maeneo mengi yameonekana kuathiriwa na mafuriko hayo na hivyo kuaharibu miundombinu ya nchi hiyo na kusababisha watu kukosa huduma za kijamii.

Misaada mbalimbali imekuwa ikitolewa kwa waathirika wa mafuriko hayo na serikali kwa njia ya helkopta kama vile chakula na madawa mbali mbali.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Zaidi ya watu 100 wapoteza maisha nchini INDIA kwa Mafuriko).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Ndugu.gif

.