Waziri mkuu wa Ufaransa,Manuel Valls, amesema kwamba Magaidi walijifanya wahamiaji

Waziri mkuu wa Ufaransa,Manuel Valls, amesema kwamba Magaidi walijifanya wahamiaji

Ameyasema hayo wakati alipokuwa anazungumza katika runinga ya taifa hilo na kwamba wahusika wengine wa ugaidi walikuwemo katika nchi za Ufaransa na Ubelgiji mapema.
Aidha aliongeza kuwa haikufahamika mara moja kwamba kulikuwa na makundi ya namna hiyo kwa ukubwa wake ,ama mshukiwa Salah Abdeslam, ambaye ndiye hasa kielelezo cha mwanamume anayesakwa zaidi kimataifa na haikujulikana kama alikuwa Ubelgiji ama Ufaransa.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Waziri mkuu wa Ufaransa,Manuel Valls, amesema kwamba Magaidi walijifanya wahamiaji. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;