Wapiganaji wa Islamic State (IS) wamesema wamewaua mateka wawili, raia wa Norway na raia wa Uchina

Wapiganaji wa Islamic State (IS) wamesema wamewaua mateka wawili, raia wa Norway na raia wa Uchina

Wapiganaji wa Islamic State (IS) wamesema wamewaua mateka wawili, raia wa Norway na raia wa Uchina

Kundi hilo la IS halikutoa maelezo zaidi kuhusu ni wapi au lini Ole Johan Grimsgaard-Ofstad, 48, kutoka Norway na Fan Jinghui, 50, kutoka Uchina waliuawa. IS walikuwa vikombozi kutoka kwa mataifa hayo kuwaachilia huru mateka hao.
Waziri mkuu wa Norway Erna Solberg amesema hakuna sababu zozote za kutilia shaka tangazo la wapiganaji hao, na kutaja kitendo chao kuwa “unyama”.
Wizara ya mashauri ya kigeni ya Uchina imesema imeshtushwa sana na mauaji hayo.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Wapiganaji wa Islamic State (IS) wamesema wamewaua mateka wawili, raia wa Norway na raia wa Uchina. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;