.

πŸ‘‰ Waliopitishwa kuwania uspika CCMπŸ‘‡βœ”

IMG_20170703_130405.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 29 Jan 2016 15:08. [Legal & Authority]


Waliopitishwa kuwania uspika CCM

Kamati kuu ya halmashauri kuu ya Taifa ya CCM ilikuwa na kikao cha siku moja kilichofanyika leo Novemba 15, 2015 mjini Dodoma na imewateua wana-CCM watatu ambao watakaopigiwa kura na wabunge wote wa CCM ili kumpata mgombea wa CCM katika nafasi ya spika wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Walioteuliwa kugombea nafasi hiyo na kamati kuu iliyofanyika chini ya Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ni pamoja na naibu spika aliyemaliza muda wake Job Ndugai, Dkt. Tuliana Ackson na Abdullah Mwinyi.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Waliopitishwa kuwania uspika CCM).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”


images-8.jpeg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Tunatakiwa tujenge uhodari na uwezo utakaotusaidia kutumia fursa zilizo wazi mbele yetu."

msaada.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS