Tafuta

Marafiki zako mliopotezana wanakutafuta Wanakungoja kwa hamu sana uwatafute na wao

👉SOMA ZAIDI HAPA...

👉 Waganga wa tiba asili watakiwa kuacha kujitangaza kiholela👇✔

mauaji.jpg Waganga wa Tiba Asili mkoani Mtwara wametakiwa kuacha kutangaza shughuli zao kiholela na badala yake wametakiwa kutumia mabaraza ya Tiba Asili ili kuondokana na mkanganyiko katika jamii na pia waweze kufuata kanuni na sheria za kusajili kazi zao.2179mboni.jpg&width=600
Kaimu Msajili wa Baraza la Tiba Asili na Mbadala kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii MBONI BAKARI, amesema Baraza linalazimika kutoa elimu kwa waganga hao ikiwa ni pamoja na kufahamu maadili na miiko ya kazi hiyo.

Kwa upande wake Mratibu wa Tiba Asili wilaya ya Mtwara EDWIN MILANZI amesema mkoa wa MTWARA una waganga wa tiba asili zaidi ya mia tatu lakini changamoto inayowakabili ni bajeti ndogo inayokwamisha utoaji elimu kwa walengwa, huku baadhi ya waganga wakilalamikia kukithiri kwa waganga wengi wa tiba asili

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Waganga wa tiba asili watakiwa kuacha kujitangaza kiholela).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

Marafiki zako wa enzi ukiwa mdogo wanakutafuta hapa Wanataka mkumbukie furaha na raha za utotoni

👉SOMA ZAIDI HAPA...

Ndugu.gif

.