Video ya Lumumba Dar es Salaam wanaCCM baada ya ushindi wa Dr. Magufuli

Video ya Lumumba Dar es Salaam wanaCCM baada ya ushindi wa Dr. Magufuli

Baadhi ya wanachama wa CCM walikutana kwa pamoja katika Ofisi za Chama hicho jioni ya October 29 2015 kusherehekea ushindi iliomtangaza Dk. John Magufuli kuwa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ataongoza Serikali ya awamu ya tano

.

Video ya kutoka Lumumba Dar es Salaam hii hapa wanaCCM wakisherehekea ushindi wa Dr. Magufuli.

Chanzo millardayo.com

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Video ya Lumumba Dar es Salaam wanaCCM baada ya ushindi wa Dr. Magufuli. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;