Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKE👧👗👠 Kinamwelezea🔎Mwanamke🔍 kinagaubaga✔
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

👉 Utu ni zaidi ya fedha ya heshima ya dunia

Mwaka 1993 mwezi March Mpiga picha maarufu wa Africa kusini (PhotoJournalist) Kevin Carter alitembelea Nchi ya Sudan kwa ajili ya kupiga picha za habari kuhusiana na baa la njaa lililoikabili nchi hiyo.

Ni kipindi ambacho nchi ya Sudan ilikumbwa na baa kubwa sana la njaa hali iliyopelekea watu wengi kufa njaa na wengine wakihangaika kuokoa uhai wao kwa kula Magome ya miti, nyasi na mizizi.

Ni kipindi kibaya sana katika Historia ya Sudan kwa sababu Jumuiya ya kimataifa ilisita kupeleka msaada wa chakula kutokana na hali mbaya ya kisiasa iliyokuwepo Sudan (vita vya wenyewe kwa wenyewe).

Japo baadae umoja wa Mataifa (UN) ulikubali kupeleka msaada wa Chakula lakini watu wengi walikua wameshapoteza maisha kutokana na baa la njaa.

Ni kipindi hiki ndipo Kevin Carter alienda nchini Sudan akifuatana na Mwandishi mwenzie wa kireno João Silva kuripoti juu ya baa la njaa lililoikumba nchi hiyo.

Katika kutekeleza wajibu wake wa kikazi Kevin alifanikiwa kupiga picha ya mtoto mmoja mdogo aliyeshindwa kuendelea na safari ya kuwafuata walezi wake waliokuwa wameenda kupokea chakula cha msaada toka UN. Mtoto huyo alipewa jina la Ken.

Ndege za UN zilikua zikidondosha msaada wa chakula kwa wanakijiji wa eneo hilo. Wazazi wa Ken walifariki kwa njaa na yeye kulelewa na jamaa wa karibu.

Siku hiyo walezi wa Ken walienda kuokota chakula cha msaada kilichokuwa kikidondoshwa na ndege za UN. Ken alijaribu kuwafuata walezi wake lakini aliishindwa kuendelea na safari katikali ya pori kutokana na uchovu, njaa kali, kiu, na mwili kukosa nguvu. Akiwa peke yake porini alianguka.

Akajaribu kuficha kichwa chake ardhini kutokana na jua kali lililokua likiwaka (zaidi ya nyuzijoto 40°C). Hapakuwa na mti wa kujikinga maana miti ilikauka kwa ukame, mingine watu walikula magome wakiwa katika jitihada za kujiokoa na njaa.

Ken hakujua kuwa nyuma yake kulikua na ndege aina ya "tai" ambaye hula mizoga na alikua akimnyemelea. Akiwa pale chini alivamiwa na ndege huyo ambsye alimdonoa sehemu ya utosi na kumuua kabla ya kuanza kula nyama yake kwa kudonoa kama adonoavyo mizoga.

Wakati Ndege huyo akimkaribia Ken, mwandishi wa Habari Kevin Carter alikua na Camera yake akipiga picha. Baadae akachukuliwa na ndege za UN na kumuacha mtoto huyo akiliwa na "tai" bila msaada wowote.

Picha hiyo ilichapishwa kwenye gazeti la New York Times tar.26 March 1993 na kuibua mjadala mkubwa juu ya maadili ya taaluma ya upigaji picha za habari (Ethics of Photojournalism).

Wengi walilaumu kitendo cha Kevin Carter kupiga picha na kuacha kuokoa maisha ya mtoto yule. Katika utetezi wake Carter alisema hakujua kama tai yule angemshambulia Ken.

Aliongeza kuwa alisubiri kwa muda wa dakika 20 kuona kama tai yule angerusha mbawa zake kumsogelea Ken. Alipoona tai huyo hamsogelei mtoto huyo aliamua kuondoka kwa ndege maalum za UN zilizokua zikitoa msaada eneo hilo na kumuacha mtoto Ken peke yake. Lakini baadae akaambiwa kuwa mtoto huyo alidonolewa na tai hadi kufa.

Taarifa nyingine zinadai kuwa Carter alikua akitekeleza kazi aliyopewa na muajiri wake, kwamba akifika Sudan afanye kazi moja tu ya kupiga picha na alizuiwa kufanya kazi ya uokoaji kwa sababu hakwenda Sudan kwa kazi hiyo.

Pamoja na hayo yote Carter alitunukiwa tuzo kwa Picha hii, mnamo mwezi April mwaka 1994 kwenye tuzo maarufu za Pulitzer. Picha hii ilipewa tuzo ya kuwa picha bora ya makala (Feature Phoyograph).

Lakini Carter hakuifurahia tuzo hiyo kutokana na kukosa utu ambao ulipelekea kifo cha mtoto Ken. Aliishi maisha ya masononeko na kujilaumu kila mara kwa kushindwa kuokoa maisha ya mtoto yule.

Aliomba radhi kwa kusema ''kwakweli naomba msamaha kwa kutomuondoa mtoto huyo katika mazingira ya hatari (“I’m really, really sorry I didn’t pick the child up,”).

Tar.27 mwezi July mwaka 1994 (miezi minne tu baada ya kupokea tuzo) Kevin Carter aliamua kujiua kwa sumu ya Carbon Monoxide (Carbon monoxide poisoning) kutokana na msongo wa mawazo uliosababishwa na historia ya Sudan ya kifo cha mtoto Ken.

Kevin Carter alilipwa fedha nyingi sana na gazeti la New York Times kwa picha ile. Hali kadhalika alipewa tuzo ya heshima kwa upigaji picha bora, lakini baadae akaona vyote havina thamani kwa kitendo alichokifanya kwa kukosa utu.

Kabla ya kujiua Carter aliandika ujumbe kwenye kipande cha karatasi akisema "Maumivu ya moyo yanazidi furaha ya fedha" (The pain of heart overweigh the joy of getting money)…

…. Najisikia vibaya sana, kumbukumbu za mauaji, njaa na mateso ya mtoto Ken zinanijia kila mara. Naenda kumfuata na kumuomba msamaha kama nitapata bahati ya kufanya hivyo… ( I am so depressed … I am haunted by the vivid memories of killing, anger and pain of starving child Ken… I have gone to join him and ask for forgiveness if that opportunity arrise."

MY TAKE!
Mali, fedha, na heshima ya dunia haviwezi kuzidi utu wa binadamu mwenzio (human dignity). Kevin
Carter alikubali kuuza utu wa mtoto Ken kwa fedha na heshima ya kupata tuzo, lakini baadae dhamiri ikamhukumu na akaamua kujiua.

Jiulize unaishije.? Unathamini utu wa wenzio au unajali zaidi fedha, mali na heshima ya dunia kuliko utu?

Una uhakika wa milo mitatu na wakati mwingine unatupa chakula lakini je unajua kuna watu wasio hata na uhakika wa mlo mmoja, na wengine wanakufa kwa kukosa chakula? je unawasaidiaje?

Unasafiri njiani na gari binafsi, uko peke yako lakini unaombwa lift na bibi kizee mgonjwa unakataa eti atakuchafulia gari. Unathamini mali kuliko utu??

Kumbuka mali za dunia, fedha na heshima ya dunia ni vya kitambo tu, lakini utu wa mtu ni hazina ya milele.

[VIDEO KALI] 👉Nyoka akimkamata panya na kumuua👈

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu; Utu ni zaidi ya fedha ya heshima ya dunia.💯✔ Share facebook, twitter n.k bila kusahau WhatsApp, share wengine nao wafaidike!👍

Usikubali kupitwa na 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅. Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10. 👉Bofya hapa Kuchukua👈

[VIDEO MPYA] 👉 Jinsi wanavyochinja twiga👈

🐼 Endelea kusoma kuhusu;-🙉

.

Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKE👧👗👠 Kinamwelezea🔎Mwanamke🔍 kinagaubaga✔👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+✔ Kina kurasa 270 zenye picha📷 na vichekesh😂 zaidi ya 300💨👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅 Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

📰 Posti nyingine👇

📌 Unakumbuka hizi Sheria zetu za mpira utotoni?

1.Mwenye mpira Lazima acheze ata kama hajui mpira
2.Dogo mnene Lazima awe golikipa
3.Mwenye mpira ataamua nan acheze na nan asicheze….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Unakumbuka hizi Sheria zetu za mpira utotoni?

📌 Nani Mkali Hapa

"MAENEO FLANI ya KISHUA"….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Nani Mkali Hapa

📌 Mafanikio ya maisha sio Elimu tuu

MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Mafanikio ya maisha sio Elimu tuu

📌 Sifa mbaya: Cheki kilichompata huyu mwanaume mpenda sifa

SIFA MBAYA…
Jamaa alikuwa ndani ya daladala Mara simu ikaita alikuwa ni mkewe kwa sifa jamaa akaweka loud speaker ili watu wasikie wanavyopendana.
JAMAA;wife Mara hii umenimiss jaman
WIFE; kwa nini umekunywa uji wa mtoto?!!!
😂😂😂😂😂….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Sifa mbaya: Cheki kilichompata huyu mwanaume mpenda sifa

📌 Stori za simu

STORY ZA WASICHANA KTK SIM….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Stori za simu

📌 Chezea mbulula wewe...!!!

Jamaa aliamua kumtoa demu wake out kwaajili ya chakula cha usiku kufika hotelini wakakaa mezani mhudumu akaja,….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Chezea mbulula wewe...!!!

📌 Staili nyingine za michepuko ni shida

Mtu na mkewe walikuwa bado wamelala asubuhi, mtu akapiga hodi mke akaenda kufungua mlango, si akakuta mchepuko wake,
MKE: Unataka nini we mpumbavu?….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Staili nyingine za michepuko ni shida

📌 Angalia sababu ya mke Mtarajiwa kuzimia kabla ya harusi

*Jihadharini* na wachapaji wa kadi za harusi. Hakikisha unasoma maandishi yaliyochapwa kabla ya kadi kuchapwa na kusambazwa!
Mchapaji aliombwa aweke 1 Yohana 4:18 katika kadi ya harusi lakini mchapaji kwa makosa aliweka Yohana 4:18…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Angalia sababu ya mke Mtarajiwa kuzimia kabla ya harusi

📌 Kwa hiki kilichonikuta sitadanganya tena kuanzia leo

Juzi nikitoka church nilipanda kihiace na kulikuwa na mrembo mkali hujawahi kuona,kila kijana alikuwa akimtupia macho,so me nilikuwa na wepesi wa kuongea naye kirahisi coz nilikuwa kando yake,,, Sasa kama unavyojuwa wanaume kwa kujikosha Nikaimigine mtto ananiangalia so nikaamuwa kupiga fake phone
"Hello Mr. Supervisor,nitachalewa kidogo coz kuna mahali nitapitia, so nipelekee tu hyo Ferrari yangu nyumbani"….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Kwa hiki kilichonikuta sitadanganya tena kuanzia leo

📌 Jinsi mzunguko wa elimu ulivyo

01.👉 Wale wanafunzi walioongoza
Mashuleni, wanaenda kwenye
Engineering na Medical school…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Jinsi mzunguko wa elimu ulivyo

.

📓 Posti za sasa👇

A Je, kwa nini unasema kwamba wasichana vijana hawapo tayari kubeba mimba?

Ni kweli kwamba kupata hedhi ni dalili ya mwili wa msichana kuwa tayari kwa kubeba mimba, lakini kupata hedhi hakuna maana kwamba msichana yupo tayari kwa kuanza kujamii ana au kubeba mimba. Uke wa mwanamke ambaye ni mtu mzima ni madhubuti na unavutika, lakini uke wa msichana ni mwembamba na hauwezi kutanuka sana. Hivyo uke wa msichana unaweza kuchanika vibaya wakati wa kujifungua. Vilevile nyonga ya msichana huwa bado nyembamba sana kuweza kumpitisha mtoto wakati wa kujifungua.
Kwa kuongezea, kupata mtoto siyo suala tu la mwili kuwa tayari kubeba mimba na kujifungua. Inamaanisha pia kuwa tayari kuwa na mwenzio wa kushirikiana naye katika malezi ya mtoto, kuwa na kipato cha kutosha cha kutunza familia na kuwa na nyumba ya kuishi. Kwa vyovyote vile kubeba mimba mapema kunamkosesha msichana kuendelea na masomo na hivyo kumyima nafasi nyingi nzuri za mafanikio.
Hivyo kupata hedhi kila mwezi ni dalili tu ya kuelekea kwenye utu uzima. Haimaanishi kwamba mwili wake umekua vya kutosha kuweza kujifungua mtoto na haimaanishi kwamba amepanga maisha yake kikamilifu kuwa mzazi…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Je, kwa nini unasema kwamba wasichana vijana hawapo tayari kubeba mimba?

A FUNZO: Maisha ni kuchagua

Siku hizi kuna tangazo moja la kampuni ya simu za mikononi, Tigo, likimuonesha mama akiwa _busy_ na pembeni yupo mwanae mdogo apo akijisemesha na akatamka maneno ambapo mama akaona ni kama ameanza kuongea. Kwa furaha anampigia simu mumewe akimtaka amsikilize mwanae akiongea. Hapo mama anamtaka mwanae aseme "mama" na baba naye anavutia kwake akimtaka aseme "baba". Kwa maajabu kabisa mtoto anawapotezea wote na kutamka "ni Tigo peesa". Wazazi wakashikwa na butwaa lakini huku wakitabasamu…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉FUNZO: Maisha ni kuchagua

A mafuta kwenye kondomu

Mafuta yanayowekwa kwenye pakiti ya kondomu ni mafuta maalum na yana kazi ya kuhifadhi kondomu mpaka siku yake ya kutumiwa. Bila mafuta haya kondomu isingekuwa imara, ingekauka na isingekuwa nyumbufu vya kutosha. Vilevile mafuta hayo yanalainisha mpira ili kurahisisha uvaaji na matumizi yake. Kwa watu wengi, mafuta haya hayawaletei matatizo yoyote. Watu wachache sana ambao ngozi yao ni nyepesi kuathirika wanapata matatizo ya kuwasha baada ya kutumia kondomu…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉mafuta kwenye kondomu

A Jinsi ya kujua kama mwanamke anakupenda kimapenzi kabla hajakwambia

Mwanamke anayekupenda lakini hawezi kukwa mbia huwa anafanya mambo kukupima kama na wewe unampenda. Mfano wa mambo hayo ni kujifanya anaumwa na kuangalia wewe kiasi gani unamjali na kiasi gani utahangaika kwa ajili yake…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Jinsi ya kujua kama mwanamke anakupenda kimapenzi kabla hajakwambia

A Je, unaweza kufa kutokana na kuvuta sigara na kunywa pombe?

Ndiyo. Unaweza kufa kutokana na kuvuta sigara au kunywa
pombe. Lakini pale tu utakapozidisha. Kama utavuta idadi kubwa
ya sigara unaweza kupata kwa wingi sumu, iitwayo nikotini iliyo
katika tumbaku. Hii inaweza kusababisha kifo cha ghafla. Hii
huwatokea hasa watu ambao wana magonjwa ya moyo. Uvutaji
sigara kwa wingi na kwa kipindi kirefu unaweza kusababisha
kifo kutokana na saratani.
Pombe inaweza kukuua ghafla. Kama utakunywa kiasi kikubwa
cha pombe. Matokeo yake yanaweza yakawa ni kusimama kabisa
kwa shughuli za ubongo. Hii inamaanisha kuwa sehemu maalumu
katika ubongo ambazo zinaratibu uvutaji hewa na mapigo ya moyo
hazitaweza tena kufanya kazi na matokeo yake ni kifo.
Lakini pombe pia ni chanzo cha ajali nyingi za barabarani na
kazini. Kumbuka kwamba pombe ni chanzo cha vifo vingi kuliko
dawa zingine za kulevya…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Je, unaweza kufa kutokana na kuvuta sigara na kunywa pombe?

A UNATAFUTA NDOTO ZAKO AU MAPENZI YA MUNGU?

Watu husema, na hata wahubiri pia nao husema, ‘Fuata ndoto zako!’ Lakini Yesu alisema, ‘Nifuate mimi’. Ikiwa utafuata ndoto zako, unajifurahisha mwenyewe tu. Lakini ikiwa utamfuata Yesu, atampendeza yeye. Kama utafuata ndoto zako, basi unajitumikia wewe mwenyewe. Ukimfuata Yesu, utamtumikia yeye na kanisa lake. Kama utafuatisha ndoto zako, unajitengenezea njia yako mwenyewe. Kama utamfuata Yesu, yeye ndiye atakayekuandalia njia.
Kuwaambia wakristo kwamba wanapaswa ‘kufuata ndoto zao’ ama ‘kuwa na ndoto ama maono ya maisha yao yajayo’ ni kuwaongoza katika njia isiyokuwa sahihi na kuwadanganya. Hao wanaofundisha mafundisho hayo watawajibika mbele za Mungu kwa kuwadanganya waamini. Hao wanaopokea mawazo ya namna hiyo kwenye mioyo yao nao pia wanawajibika kwa kupokea kitu ambacho hakifundishwi katika biblia na ni kinyume na mafundisho ya Biblia…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉UNATAFUTA NDOTO ZAKO AU MAPENZI YA MUNGU?

A Jinsi ya kufanya wazazi wamkubali mchumba

Uhusiano mzuri na wazazi ni muhimu sana siyo katika masuala ya uchaguzi wa mchumba tu, bali katika masuala yote ya msingi maishani. Kwa hiyo, hatua ya kwanza ni kujaribu kuelewana nao.
Mara nyingi vijana hufikiri wazazi hawaelewi maisha ya vijana wa kisasa. Mara nyingine hufikiri kwamba mila na desturi zinamzuia kijana kufanya uamuzi ambao unafaa. Pia wengine hufikiri kwamba tofauti ya malengo kati ya vijana na wazazi huleta mgongano.
Hali kama hii ikijitokeza, ni vizuri kuwasiliana na wazazi kwa nia ya kuelewana. Usisahau kwamba wazazi wakati wote wanajaribu kujena maisha bora ya baadaye ya watoto wao. Unapowasiliana na wazazi jaribu kuwaeleza kwa heshima na upole kwa nini hukubaliani na mawazo yao na kwa nini unaona uamuzi wako unafaa. Inawezekana kwa kufanya hivi unaweza kupata ridhaa ya wazazi wako.
Kama hujawahi kuzungumza na wazazi wako kwa karibu, mara nyingi i i inakuwa vigumu kuanzisha mazungumzo. Jaribu kuanza kwa mazungumzo rahisi. Tafuta muda mzuri wa kuanzisha mazungumzo. Usianzishe mazungumzo na wazazi wakati wamechoka au wakati wametingwa na kazi nyingi; hawatakusikiliza. Jaribu kuwa wazi na mkweli, na waonyeshe wazazi wako kwamba unayajali mawazo yao. Kwa kufanya hivyo wazazi wako wanaweza kukuamini na kuafikiana na wewe katika maswali mazito zaidi. Vilevile onyesha kwamba unawaheshimu. Inachukua muda mrefu kufanikisha mawasiliano mazuri na wazazi, lakini ni vema kuyaanzisha mapema kwa ajili ya kufanikisha lengo la mawasiliano mazuri na wazazi…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Jinsi ya kufanya wazazi wamkubali mchumba

A Madogo wa sikuizi ni kiboko, cheki huyu alichokifanya akiwa darasani na mwalimu wake

Muda wa kwenda nyumbani ulikuwa umefika, mwalimu
akasema: yeyote atakaye jibu swali langu lolote kwa usahìhi ataondoka asiye jibu atabaki…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Madogo wa sikuizi ni kiboko, cheki huyu alichokifanya akiwa darasani na mwalimu wake

A Vijana Albino wafanye nini ili kulinda ngozi yao?

Pamoja na matatizo ya kuona, ngozi ya Albino ni rahisi sana
kudhurika kwa mionzi ya jua. Hatima yake ikiwa ni uwezekano
mkubwa wa kupata saratani ya ngozi. Hivyo basi, kila Albino
anashauriwa daima kujikinga dhidi ya mionzi ya jua kwa kuvaa
nguo za mikono mirefu, kuvaa kofia pana, kuvaa miwani ya jua na
kwa wale wenye uwezo kujipaka mafuta maalumu yanayosaidia
kukinga ngozi dhidi ya mionzi ya jua…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Vijana Albino wafanye nini ili kulinda ngozi yao?

.

Majarida na vitabu kutoka Ackyshine eBook Shop

Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅 Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Matikiti Linafundisha ulimaji wa matikiti
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+✔ Kina kurasa 270 zenye picha📷 na vichekesh😂 zaidi ya 300💨
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Bamia Linafafanua Kilimo cha bamia
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Picha Kali Lina picha Nzuri za kufurahisha
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.