.

Kichekesho%20Kipya Tafuta ndugu zako mliopotezana hapa Utawakuta kwenye mtandao
๐Ÿ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...Kizuri

๐Ÿ‘‰ Usipuuze kila kitu na usiahirishe kila kitu๐Ÿ‘‡โœ”

IMG_20170703_130508.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 21 Sep 2016 03:32. [Legal & Authority]


Usipuuze kila kitu na usiahirishe kila kitu

USIPUUZE KILA KITU NA USIAHIRISHE KILA KITU

Mr.jerro.(mtunzi)

Mgonjwa mmoja aliyelazwa hospitalini alitembelewa na ndugu zake. Alikuwa amewekwa kwenye mashine ya oksijeni na hivyo hakuweza kuongea.

Wakati wakiwa pembezoni mwa kitanda, mgonjwa huyo alichukua kalamu na kipande cha karatasi akaandika ujumbe na kumpatia mmoja wa ndugu hao ambaye alikiweka mfuko bila kukisoma huku wakiendelea na mazungumzo.

Baada ya dakika chache, mgonjwa alifariki dunia. Ndugu yule aliingiza mkono mfukoni mwake ili kujua marehemu aliandika nini. Wajua nini kilichotokea? Kwa masikitiko ujumbe ule ulisomeka hivi:

โ€œTafadhali sogea pembeni kidogo, umekanyaga mpira wa oksijeni. Siwezi kupumua tena, unaniuaโ€.

FUNZO:

Je, unaahirisha kusoma ujumbe? Je, unapuuza kupokea simu kwa sababu anayekupigia tayari wamjua? Huwenda ujumbe unaochelewa kuupokea ni muhimu kwako au kwa mtu mwingine ambaye yuko katika wakati mgumu.

Tafadhali pokea simu na usome ujumbe unaotumiwa. USIAHIRISHE KILA KITU.

Usisome ujumbe huu peke yako, usambaze kwa marafiki na jamaa zako.

Wasalim

Nini maoni yako kuhusu, Usipuuze kila kitu na usiahirishe kila kitu? Niandikie hapa
Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
Kichekesho%20Kipya Tafuta ndugu zako mliopotezana hapa Utawakuta kwenye mtandao
๐Ÿ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...Kizuri

๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Usipuuze kila kitu na usiahirishe kila kitu).๐Ÿ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome๐Ÿ’ฏโœ”


ACKYSHINE.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Blog hii ni miongoni mwa Blog nzuri ya Kiswahili. Kupitia Blog hii utaweza kujifunza mambo mengi mapya mazuri. Ni wewe tuu kutembelea Blog hii mara kwa mara."

ml.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

MAWASILIANO | KUHUSU MWANDISHI

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS