.

SASA.gif

๐Ÿ‘‰ Ulizia mizizi, usishangilie matunda๐Ÿ‘‡โœ”

images-9.jpeg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 29 Jan 2016 13:31. [Legal & Authority]


Ulizia mizizi, usishangilie matunda

ULIZIA MIZIZI USISHANGILIE MATUNDA
Nimekuwa nikitafakari sana ninapoona clip
ya video ya mtu inayoonyesha jinsi
alivyofanikiwa kwa dakika 5. Najua kuna
watu wanatiwa moyo ila kuna wengine
wanaona maruweruwe.. Ngoja nikujuze
kitu.. Yule mwimbaji anayevuma sanaโ€ฆ.
alitoa albamu yake ya kwanza
haikusikikaโ€ฆ Alifukuzwa redioni
alipopeleka wimbo wake wa kwanza.. na
hiyo ilimchukua miaka mitano wimbo wake
wa kwanza kupigwa redioni. Lakini leo ana
tuzo kibaoโ€ฆ
Unamuona yule kinara wa biashara?
Alianzisha biashara yake ya kwanza
manispaa ikamchukuliaโ€ฆ alipofungua duka
akafilisika baadaye na alijaribu biashara
zaidi ya kumi.. ile ya kumi na tatu ndiyo
iliyokuja kumtoaโ€ฆ sasa majarida
yanamkimbilia kumhojiโ€ฆ Forbes
wanamtafuta.. kuna watu wanataka
kumwigaโ€ฆ
Yule unayemuona ni Nyota wa TV alifeli
sana darasani.. akajitahidi kufika kidato
cha nne akaamua kwenda Chuo cha
uandishi wa habari na alizunguka sana
vituo vya redio na televisheni.. Leo hii kila
jioni unamuwahi kumsikiliza..
Unamuona yule jamaaโ€ฆanaitwa BEST
SELLER AUTHOR na vitabu vyake
vinasakwa sana madukaniโ€ฆ Kitabu chake
cha kwanza huijui.. wala hatakuonyesha
kilivyokuwa kibovu.. aliwahi hata
kuzigawa bure na bado watu
hawakuzipenda..
IKO HIVIโ€ฆ
Changamoto zao ni kama msingi imara
ambao wanasimamia leo..
Kila mtu akiyefanikiwa ana stori ngumu
nyuma yake..
Kama wangeziepuka ama kuziogopa
changamoto hizo pengine wasingekuwa
hapo walipo..
Unatakiwa uwe na UCHU USIO wa kawaida
kiasi kwamba kila jambo GUMU unalopitia
linakuwa kamba ya kuvukia ngโ€™ambo.
Hicho kitu kirahisi na njia rahisi naona
ziko likizoโ€ฆ
FIGHT FOR YOUR DREAM..
THE GREATER THE PASSION AND DESIRE
THE MORE YOU PERSEVERE..

Usisahau kushare posti hii Kwenye Mitandao ya Kijamii

New-Microsoft-PowerPoint-Presentation-2.gif

.

.

.

Melkisedeck%20Shine.gif

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

.

Wasiliana nami;

Kwa maoni, ushauri, nyongeza na hata salamu

Jina lako
Mawasiliano
Andika namba yako ya simu
Mahali unapotoka
Email
Ujumbe wako
Uwe Huru. Ujumbe huu ni siri yangu na wewe.

ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES | CONSULT ME

Blog nyingine ndani ya AckySHINE.com

| VICHEKESHO | VIDEOS | PICHA | UJASIRIAMALI | MAHUSIANO | KILIMO & MIFUGO | AFYA & MAPISHI | HADITHI | MISEMO | KATOLIKI