Ujinga tunaofanya na kusingizia mila zetu

By, Melkisedeck Shine.

picha-kali.png

Ujinga tunaofanya na kusingizia mila zetu

1- Tunamjali sana marehemu kuliko mgonjwa au mtu alie hai

2- Tunatumia gharama kubwa za mazishi na tunajitolea sana lakini hatujitolei kuokoa maisha ya mgonjwa.

3- Hatuna desturi ya kusafiri kwenda kuona wagonjwa lakini akifa tunaondoka ukoo mzima.

4- Watu hawakupi heshima lakini ukifa watakupa heshima za mwisho

5- Wengine hawajahi kupata kabisa zawadi za Maua lakini wakifariki yatakuja mengi sana juu ya kaburi

6- Tunakesha hadi asubuhi kwenye msiba na ndio mara yetu ya kwanza kuingia chumbani kwake.

7- Hatutaki kujua kijiji chako lakini ukifa tutapanga msululu wa magari kwenda huko

8- Tutampeleka marehemu kwenye ibada hata kama yeye mwenyewe hajawahi kuingia huko akiwa hai na alikua hana mpango na ibada

9- Tutapamba kaburi kwa marumaru hata kama nyumba ya marehemu haikuwai kuwekewa marumaru

10- Hatutojali kijiji kizima hakuna nyumba iliyojengwa kwa sementi laki kaburi la marehemu litajengwa kwa sementi.

Ni mtazamo tu "Mabadiliko ya Mila" Tumekuwa na mila za kinafiki…….. Mila za kutukuza mauti kuliko uhai

Lazima tujue thamani ya Maisha kuliko Kifo```


Endelea kusoma makala hizi zifuatazo;

a.gif Ushauri kuhusu mwanamke wa kufaa kuoa

Nawaandikia ninyi vijana wa kiume na wanaume wote, maana mna nguvu na mmejaliwa na mwenyezi Mungu utashi, hekima na busara. Yote hayo ni ili muweze kutawala kila kitu tokea kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu huu. Wekeni wivu pembeni na Yafuateni haya;.. soma zaidi

a.gif Nia yako isishindwe

Nimejifunza jambo kubwa sana ambalo sote tuna lijua nalo ni "NIA".
Nimemtazama mwendesha pikipiki anaiwasha pikipiki kwa muda mrefu kwa kupiga kiki kwa kurudia rudia, akiamini lazima iwake ili aende anakotaka kwenda. Anajaribu kuwasha kwa kiki ikikataa anajaribu kwa starter, ikigoma anajaribu kuchomoa plug na kuangalia kama kuna tatizo, anajaribu tena na tena mpaka inawaka, anaanza safari yake… soma zaidi

a.gif Mizigo tuliyoibeba ambayo haina faida

1.๐Ÿ’ฅUmejipa jukumu la kuwa "mpelelezi" wa maisha ya wengine na umesahau maisha yako… soma zaidi

[Msemo wa Leo] ๐Ÿ‘‰Nguvu ya kuwa makini

[Jarida la Bure] ๐Ÿ‘‰Jarida la kilimo bora cha kabichi

[Hadithi Nzuri] ๐Ÿ‘‰Stori inayogusa!!

a.gif Faida za kula mayai asubuhi

Mayai ni kitu kilichozoeleka na kinachopatikana kwa gharama nafuu. Kutokana na kuzoeleka huku watu wengi wamekuwa wakipuuza umuhimu au nafasi ya mayai katika afya zao. Pengine kupuuza huku kunatokana na mazoea au ukosefu wa elimu juu ya faida zinazopatikana kutokana na ulaji wa mayai… soma zaidi

a.gif Mapishi ya Wali, mchicha wa nazi na nyama ya kukaanga

Mchele (rice 1/2 kilo)
Mchicha uliokatwakatwa (spinach mafungu 2)
Nyama (beef 1/2 ya kilo)
Nyanya (tin tomato 1/2 ya tin)
Nyanya chungu ( garden egg 3)
Kitunguu swaum (garlic cloves 3)
Tangawizi (ginger)
Curry powder
Vitunguu (onion 2)
Limao (lemon 1)
Chumvi
Pilipili (scotch bonnet pepper )
Tui la nazi (coconut milk 1 kikombe cha chai).. soma zaidi

a.gif Dawa za kulevya

Tunaposema dawa za kulevya ina maana ni matumizi mabaya ya dawa na hasa pale yatumikapo kinyume cha maelekezo ya tabibu na hivyo kuleta madhara kwa mtumiaji… soma zaidi

a.gif Ujumbe wa leo kwa mtu anayetaka kufanikiwa katika maisha kiuchumi

Kila mtu aliyefanikiwa ukifuatilia historia yake pengine unaweza kukata tamaa kabisa Na kusema mimi hii njia siiwez… soma zaidi

a.gif Tatizo la maumivu wakati na baada ya kufanya mapenzi

Wakati wa kufanya tendo la ndoa wapo baadhi ya watu hupatwa na maumivu wakati au baada ya kushiriki tendo, Maumivu haya yaweza kuwa;- Wakati tu uume unaingia,
Unapoingiza kitu chochote hata kidole, Wakati uume ukiwa ndani na Maumivu ya kupita (throbbing pain) yanayodumu masaa kadhaa baada ya tendo… soma zaidi

vichekesho-bomba-vya-siku.png

.

afya-mapishi-na-lishe.png
UJUMBE-POLE-NDUGU.JPG
afya-mapishi-na-lishe.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.