Tunatofautiana matumizi ya muda

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Je, ni kweli au si kweli kuwa Wadada waliosoma sana hawana sifa ya kuwa mke, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Tunatofautiana matumizi ya muda.

Endelea kefurahia makala nzuri kila siku unapotembelea tovuti hii.

Tunatofautiana matumizi ya muda

By, Melkisedeck Shine.

TUNATOFAUTIANA MATUMIZI YA MUDA
Mara nyingi watu wanalalamikia vitu
ambavyo ndivyo vinavyowatoa wengine..
Tuna masaa 24 lakini baada ya kumaliza
siku kuna watu wanachekelea na wengi
wanaliaโ€ฆ umetumiaje saa moja uliyoipata?
Leo umejifunza nini, umefikia wateja
wangapi, umegusa maisha ya watu
wangapi, ulikuwa unapanda au unabomoa,
ulitumia kununa au kufurahia..
ulitatua matatizo au ulilalamikaโ€ฆ au wewe
uligeuka tatizo..?
MUDA UNASONGA NA HAIRUDI NYUMAโ€ฆ
Angalia matumizi yako ya mudaโ€ฆ
Usiangalie kwa mtindo wa LEO NIMEFANYA
NINI, Ila jiulize Dakika ya kwanza
nilipoamka nimefanya nini?
SEKUNDE, DAKIKA, SAA, SIKU N.K ZOTE
ZINA MATUMIZI YAKE..
ukipoteza sekunde moja umeathiri dakika
yako moja.. ukipoteza dakika umeathiri na
saa yako moja.. vivyo hivyo na siku wiki
mwaka na kuendelea..
Lifetime is made up fragments of time..
destroy the fragments to destroy the whole
component.
Some WASTE and others INVEST in TIME..

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Tunatofautiana matumizi ya muda, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

FURSA.PNG

Fursa Ya Kazi Na Ajira Yenye Malipo Mazuri

Au soma zaidi hapa

.

UJUMBE-MSAMAHA-35JHF32.JPG
KADI-SALAMU-USIKU-MZAZI.JPG