Serikali ya Tanzania imepiga marufuku utengenezaji wa kadi za Krismasi na Mwaka Mpya kwa gharama ya serikali au pesa za umma

Serikali ya Tanzania imepiga marufuku utengenezaji wa kadi za Krismasi na Mwaka Mpya kwa gharama ya serikali au pesa za umma

"Fedha zilizopangwa kugharamia utengenezaji na uchapishaji wa kadi, zitumike kupunguza madeni ambayo Wizara, Idara na Taasisi za umma zinadaiwa na wananch/wazabuni waliotoa huduma na bidhaa kwao au zipelekwe katika matumizi mengine ya kipaumbele,” imesema taarifa iliyotoka kwa kaimu mkurugenzi wa mawasiliano ya Ikulu Bw Gerson Msigwa.

Taarifa kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue imesema afisa yeyote wa serikali anayepanga kuchapisha au kutengeneza kadi kama hizo anafaa kufanya hivyo "kwa gharama zake mwenyewe”.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Serikali ya Tanzania imepiga marufuku utengenezaji wa kadi za Krismasi na Mwaka Mpya kwa gharama ya serikali au pesa za umma. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;