Senegal inapanga kupiga marufuku uvaaji wa vazi la wanawake la Burqa

Senegal inapanga kupiga marufuku uvaaji wa vazi la wanawake la Burqa

Senegal inapanga kupiga marufuku uvaaji wa vazi la wanawake la Burqa

150217180020_woman_burqa_640x360_getty_nocredit.jpgSenegal inapanga kupiga marufuku uvaaji wa vazi la wanawake la Burqa kwa lengo la kuzuia mienendo ya makundi ya kijihadi,waziri wa maswala ya ndani nchini humo Abdoulaye Daouda amesema.

Waziri huyo amesema kuwa hatua hiyo haifai kuonekana kama inakiuka uislamu kwa kuwa taifa hilo lina waislamu wengi.
Iwapo mipango hiyo itakuwa sheria,Senegal litakuwa taifa la tano Afrika kupiga marufuku uvaaji wa vazi hilo.
Wiki iliopita ,rais wake Macky Sall,muislamu, alitangaza vita dhidi ya wapiganaji wa kiislamu.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Senegal inapanga kupiga marufuku uvaaji wa vazi la wanawake la Burqa. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;