Tafuta

Ndugu yako yupo hapa anakuulizia Anakupenda sana na amekumiss

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ Saudia Arabia yakana uvumi wa vifo vya mahujajiπŸ‘‡βœ”

150925134146_hajj_stampede_5.jpg

Saudi Arabia imekana ripoti kuwa mkanyagano uliowaua zaidi ya watu 700 karibu na mji wa Mecca ulisababishwa na kufungwa kwa barabara ili kuruhusu watu mashuhuri kuingia eneo hilo.

Wizara ya masuala ya ndani ilisema kuwa madai hayo ni ya uongo na kwamba uvumi huo ulianzishwa na vyombo vya serikali Iran ambayo ilipoteza raia 131.

Iran imeilaumu Saudi Arabia kwa mkasa na ikataka wahusika wote kuchukuliwa hatua za kisheria.

Chanzo: BBC SWAHILI

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Saudia Arabia yakana uvumi wa vifo vya mahujaji).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Unatafutwa na marafiki zako wa zamani Bado wanakupenda sana ndio maana wanakutafuta

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

Slide2-utotoni.GIF

.