Rais FRANCOIS HOLLANDE wa UFARANSA ametangaza kwamba nchi yake iko kwenye vita dhidi ya wapiganaji wa kikundi cha ISLAMIC STATE

167615Paris-web2-tmagArticle.jpg&width=600 Akihutubia mabaraza mawili ya bunge hapo jana HOLLANDE aliapa kuwa UFARANSA italiangamiza kundi hilo.

Kiongozi huyo alisema vikosi vya ulinzi vitaimarishwa na kutaundwa muungano wa kimataifa kudhibiti mipaka. Hii ni mara ya kwanza ndani ya miaka sita kwa mabaraza mawili ya bunge kuhutubiwa na rais kwa wakati mmoja.

HOLLANDE pia alitaka kuwe na mabadiliko ya katiba na kupendekeza kuongeza muda wa hali ya hatari.

Waziri wa mambo ya nje wa MAREKANI JOHN KERRY yupo nchini UFARANSA kwaajili ya kufanya mazungumzo na rais FRANCOISE HOLLANDE juu ya kampeni ya pamoja dhidi ya ugaidi.

Katika hatua nyingine UFARANSA imeongeza mashambulio ya anga dhidi ya wapiganaji wa kikundi cha ISLAMIC STATE katika mji wa RAQQA nchini SYRIA

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Rais FRANCOIS HOLLANDE wa UFARANSA ametangaza kwamba nchi yake iko kwenye vita dhidi ya wapiganaji wa kikundi cha ISLAMIC STATE. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;