Tafuta

πŸ‘‰ Msemo mizuri kutoka kwa Watu maarufu dunianiπŸ‘‡βœ”

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Kutana na wale mliosoma pamoja

1. "kuzaliwa masikini sio kosa lako, ila kufa
maskini ni ujinga wako" (Bill Gate)
.
.
2,..Failure to plan is A plan to Fail
(felix Bundala)
.
.
3. "Heri kufa na mawazo yanayoishi, kuliko
kuishi na Mawazo yaliyokufa" .. (Che Guevara)
.
.
4. "Vita inamalizwa kwa vita na ili tuachane na
matumizi ya bunduki inabidi itumike bunduki" . .
(Mao ze Dong)
.
.
5. "sitamani kumjua babu yangu alikuwa nani,
ninachotaka kufahamu mjukuu wake atakuwa
na tabia gani".. (Martin luther king)

.
.
6. "Usimuulize mtu yoyote anayenijua mimi
maana utamjua yeye kupitia mimi" . .(Joe lescot)
.
.
7. "mwonekano siku zote hutengeneza
uwezekano" . . (lucky Crackent)
.
.
8. "Hatuwapendi wanawake kwa sababu ni
wazuri, ila tunawaona wazuri kwa sababu
tunawapenda". . (lucky crackent)
.
.
9. "watu ni wengi ila binadamu ni wachache". .
(fidel casto)
.
.
10. "Usiishi kwa sababu unaishi, tafuta sababu
ya wewe kuishi".. (Jay Ozil cazorla wilshere)
.
.
11, Hakuna mkate Mgumu mbele ya Chai
(Bob Sydou)
.
.
12, Kichwa kikubwa bila Akili ni Adhabu kwa
miguu
(thabiti Kube)
.
.
13, Uendawazimu ni cheo, Ambacho
hauruhusiwi hata kumwongoza mtoto
(leonard Mwendwa)

14 kumuongelea Wenger aondoke arsenal ni sawa na kujikuna pasipowasha au kujikuna kwenye kidonda(FesArsenal)
.
.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Msemo mizuri kutoka kwa Watu maarufu duniani).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Kampeni ya Amani na Upendo Lengo ni kudumisha Amani na Upendo

πŸ‘‰JUA ZAIDI...

msaada.gif
Hapa unaweza kuwakuta marafiki zako wa zamani Wanakupenda sana na wanakungoja uwatafute.

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...