MLINDA MLANGO namba moja wa klabu ya ARSENAL, PETER CECH amesema anatamani kucheza bila kuvaa kofia ngumu (HELMET ) kichwani

1659cech.jpg&width=600 CECH amesema amepona maumivu yake kichwani na angetamani kucheza bila kuvaa kifaa hicho cha kulinda kichwa kwani kinamfanya asijiamini awapo uwanjani lakini hana budi kufuata ushauri wa daktari wa kutovaa.

Mlinda mlango huyo mwenye umri wa miaka 33, amecheza huku akiwa amevaa kifaa hicho kwa muda wa miaka 9, alianza kuvaa HELMET tangu mwaka 2006 baada ya kuumia kwenye mchezo wa timu yake ya zamani ya CHELSEA dhidi ya READING.

Cech aliumia vibaya kichwani kwenye mchezo huo baada ya kugongana na winga wa READING STEPHEN HUNT katika harakati za kuokoa hatari golini kwake kitendo kilichopelekea kukaa nje ya uwanja kwa muda wa miezi 3 huku akipatiwa matibabu.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, MLINDA MLANGO namba moja wa klabu ya ARSENAL, PETER CECH amesema anatamani kucheza bila kuvaa kofia ngumu (HELMET ) kichwani. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;