Ackyshine Kiswahili Β» Dondoo Za AckySHINE Β» Maisha yanashangaza sana jamani

Tafuta

πŸ‘‰ Maisha yanashangaza sana jamaniπŸ‘‡βœ”

1:Unachotaka hukipati (UPENDO)

2:Unachokipata hukifurahii (NDOA)

3:Kinachokufurahisha hakidumu (BOY/GIRLFRIEND)

4:Kinachodumu kinakera (MUME/MKE)

5.Chenye thamani kinadhalilisha (FEDHA)

6.Kinachodhalilisha kinapendwa (ZINAA)

7.Kinachoogopwa hakina maandalizi
(KIFO)

8.Kinchoandaliwa hakiendelei (UHAI)

9.Vyakuzingatia havizingatiwi (IBADA)

10.Vinavyofuatwa havina Maana (SIASA). haya ndio maisha ya sasa. Mche MUNGU popote ulipo

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Maisha yanashangaza sana jamani).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Jiunge na Kampeni ya utunzaji wa miti na misitu Lengo ni kuhamasisha watu kupanda na kutunza miti na misitu kwa manufaa yao ya sasa na kwa manufaa ya vizazi vijavyo

πŸ‘‰Jua Zaidi...


"Tunatakiwa tujithaminishe wenyewe kwa yale tunayoona tunauwezo wa kuyafanya japokuwa watu wengine wanatuthamanisha kwa yale wanayoyaona tumeshayafanya."

ndugu.gif

Expert available for Hire

Kutana na wale mliosoma pamoja Bado wanakumbukia urafiki wa Kishule shule.
Soma%20Zaidi.gif