Maajabu ya Waafrika tunayofanya kwa jina la UTAMADUNI WETU

By, Melkisedeck Shine.

vichekesho-bomba-vya-siku.png

Maajabu ya Waafrika tunayofanya kwa jina la UTAMADUNI WETU

Nimekopi sehemu wacha nipesti humu๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Naipenda hii!Maajabu yetu Waafrika tuyafanyayo kwa jina la "UTAMADUNI WETU"

1 Tunamjali sana mtu akiwa marehemu kuliko akiwa hai

2.Tunagharamia mno kuwazika marehemu kuliko kuokoa maisha alipokuwa anaumwa.

3. Hatusafiri kwenda kumsalimia ndugu anayeumwa, bali twasafiri wengi kwenda kumzika.

4.Ni nadra sana watu kukupa heshima ungali hai, lakini watapenda sana kukupa heshima za mwisho eti ukiwa kwenye jeneza

5.Wewe hujawahi kupewa ua na mtu yeyote tangu uzaliwe, lakini watalundika maua mengi mno juu ya kaburi lako

6.Utakesha msibani kwa jirani yako kwa kuwa amefariki, ila hukuwahi kufika ndani kwake hata siku moja akiwa hai.

7.Ukiwa hai hakuna anayetaka kujua kijiji unachotoka, ila ukifa, watajaa kwenye magari wasindikize jeneza lenye mwili wako kukiona hicho kijiji

8. Tunamchukua marehemu kumpeleka msikitini au kanisani kwa lazima hata kama mwenyewe alikuwa hapendi ibada kabisa.alipokuwa hai

9. Ijapokuwa hamjaweka marumaru popote kwenye nyumba zenu, mnajichanga familia ili kujengea hiyo kaburi la marehemu.

10. Historia *FUPI" ya marehemu huandikwa kwa uangalifu mno hata kama aliwahi kufungwa jela miaka kadhaa alipokuwa hai,haitaandikwa maana hiyo si historia, ila kama alienda semina ya siku 3 Ulaya, hiyo lazima iandikwe.

NATOA USHAURI:
1.Tuwajali watu wakiwa HAI kwanza 2.Tubadilike kimtazamo wa Utamaduni, tuangalie maendeleo ya waliobaki HAI (Naomba waafrika tubadilike ili mabadiliko yatokee share ujumbe huu kwa wengine)


[Kitendawili…!] ๐Ÿ‘‰Bibi yako walipomzika hajaoza

[Fumbo Fumbo] ๐Ÿ‘‰Je, moshi ulielekea upande gani?

[Chemsha Bongo] ๐Ÿ‘‰Je hapa sisi tuna Macho Mangapi?

Endelea kusoma makala hizi zifuatazo;

a.gif Mambo Ya Kuzingatia Kuongeza Utagaji Wa Kuku

Inafahamika kuku kutaga mayai mengi hutokana na aina ya mbegu ya kuku, ila jua kwamba hata aina ya mbegu ya kuku yenye sifa ya kutaga mayai mengi kama haitapewa matunzo mazuri  basi sifa yake ya utagaji itapotea.
Kwa kawaida Tetea anatumia muda wa masaa 24 - 27 (siku moja) kutengeneza yai. Hakuna njia ya kupunguza muda huu (yaani atengeneze mayai miwili katika siku moja). Hiyo ndio asili yake. Njia Nzuri ya kumfanya kuku atage muda mrefu ni kumfanya awe na furaha na afya.
Njia za kuwafanya kuku wawe na furaha na afya:.. soma zaidi

a.gif Mambo ya Msingi kuyajua Ili uishi na watu vizuri

Nimezipenda hizi nasaha. Naamini na nyinyi wenzangu hamtakosa japo machache ya kujifunza:-
1. Epuka hasira za ovyo na kila mtu, kuwa msikivu kabla ya kukimbilia maamuzi (elewa kuwa ukiwa na hasira huwezi kupata suluhu ya jambo)
2. Usiwatendee wengine ubaya ukadhani kuwa utakuwa salama (ubaya hulipwa kwa ubaya, ipo siku ubaya wako kwa wengine utakurejea kama sio kuwarejea watu wa kizazi chako).. soma zaidi

a.gif Ushauri wa ukweli Ili Uwe mwanaume wa Ukweli

1. Ukija kijiweni au pub au kwenye nyama choma acha zile stori za sijui umesoma wapi hadi wapi, sijui una madigirii mangapi. Piga stori nyingine, mbona ziko nyingi tu. Kujielezea sana shule yako ni ushamba fulani hivi, dizaini kama hujiamini so lazima ujivishe nyota. Unaboa… soma zaidi

[Picha Nzuri] ๐Ÿ‘‰Maana ya Vitambi na mimba

[Jarida la Bure] ๐Ÿ‘‰Jarida la kilimo bora cha matikiti

[Hadithi Nzuri] ๐Ÿ‘‰Stori inayogusa!!

a.gif Jinsi ya kuanzisha mradi wa mbuzi wa maziwa

Watu wengi hutemea mifugo kwa riziki.Ufugaji wa wanyama humpa mkulima nyama na maziwa kwa matumizi ya nyumbani na mapato kutokana na mauzo ya ziada. Mifugo pia ni chanzo cha samadi. Bidhaa zingine za wanyama zinazoweza kuuzwa ili kupata pesa zinajumulisha ngozi,samadi ya kuongeza rutuba kwenye ardhi ya kupanda mimea na pia kutoa kawi ya biogas, pembe, kwato na midomo ya ndege… soma zaidi

a.gif Wazo mbadala kuhusu ajira au kupata kazi

Katika mambo ambayo nadhani nimeshawahi kujidanganya ni kufikiri kwamba nikipata kazi ndiyo utakuwa mwisho wa matatizo yangu na kuwa huru kufanya kila kitu ninacho kitaka.
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Sasaa baada ya kuipata iyo kazi nimekuja kupata ukweli kwamba kumbe kazi ya kuajiriwa siyo Mwarobaini wa Yale niliyo Nayo kumbe ndiyo safari inaanza na siyo mwisho kama nilivyo dhani… soma zaidi

a.gif Mambo usiyoyajua kuhusu ugonjwa wa Pumu

Asthma /pumu ni ugonjwa sugu ambao huathiri njia ya hewa ambazo huingiza na kutoa hewa katika mapafu, pia hufanya kuta za ndani ya njia ya hewa kuvimba na hivyo hupunguza kiasi cha hewa kinachoingia na kutoka ktk mapafu, Hali hii husababisha mgonjwa kutoa mlio kama wa filimbi/mluzi wakati wa kupumua, kifua kubana, kushindwa kupumua vizuri na kukohoa sana, watu wa pumu huwa na dalil hizo nyakat za usiku na asubuhi sana pia ugonjwa huu huwaathiri watu wa Rika zote ingawaje Mara nying huwaathiri watoto kwa sababu huanza utoton na hivyo takriban MILION 6 ya watoto wanaumwa pumu na watu takriban 255,000 hufa kila mwaka kwa ugonjwa huu… soma zaidi

a.gif Mapishi ya viazi mbatata Vya Nazi Kwa Nyama Ya Ng'ombe

Mbatata / viazi - 2 kilo.. soma zaidi

a.gif UFUGAJI WA KAMBALE

Kambale (Ietalurus Punetaus), ni aiana ya samaki ambao wana majina mengi kulingana na eneo na jamii husika. Samaki hawa unaweza kusikia wakitajwa kwa majina mengine kama vile, kambale channel, koleo, samaki kidevu n.k… soma zaidi

familia-mapenzi-na-mahusiano.png

.

picha-kali.png
UJUMBE-WA-SHUKRANI-KWA-NDUGU.JPG
picha-kali.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.