Tafuta

Marafiki zako mliopotezana wako hapa Wapo kukutafuta wewe uliyepotezana

👉SOMA ZAIDI HAPA...

👉 Kongamano la kimataifa la watu wenye ALBINISM barani AFRIKA limeazimia kuanzishwa kwa mtandao kwa watu wenye Albinism👇✔

Kongamano la siku nne la kimataifa la watu wenye ALBINISM barani AFRIKA limeazimia kuanzishwa kwa mtandao wa kushughulikia changamoto zinazowakabili watu wenye albinism.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa asasi ya kijamii ya Under The Same Sun, VICKY NTETEMA amesema maazimio yaliyofikiwa katika kongamano hilo yatawasaidia watu wenye ualbino kupata haki zao.

Kongamano hilo limehusisha nchi 29 za Afrika na 12 nje ya bara la Afrika ambapo takwimu zilizopo katika wavuti wa Under The Same Sun zinaonesha mauaji ya watu wenye albinism kufanyika katika nchi 25 barani Afrika

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Kongamano la kimataifa la watu wenye ALBINISM barani AFRIKA limeazimia kuanzishwa kwa mtandao kwa watu wenye Albinism).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

Unaweza kutafuta ndugu zako mliopotezana hapa Wanapatikana kirahisi kweli kwa sasa

👉SOMA ZAIDI HAPA...

rafiki.gif

.