.

πŸ‘‰ Kimbunga chaua nchini PHILIPPINESπŸ‘‡βœ”

images-13.jpeg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 25 Aug 2015 04:50. [Legal & Authority]


Kimbunga chaua nchini PHILIPPINES

5656Philippines-Typhoon-Goni-leav.jpg&width=600

Zaidi ya Watu Kumi wamekufa nchini PHILIPPINES baada ya kimbunga kinachojulikana kama GONI kulikumba eneo la Kaskazini la nchi hiyo.

Kimbunga hicho kinachoambatana na mvua kubwa kimesababisha mafuriko makubwa pamoja na maporomoko ya udongo.

Habari kutoka nchini PHILIPPINES zinasema kuwa Watu hao wamekufa baada ya nyumba zao kuangukiwa na mawe makubwa na kufunikwa na udongo.

Tayari serikali ya PHILIPPINES imewahamisha Mamia ya Wakazi wanaoishi katika maeneo ya mabondeni ili kuepuka madhara zaidi ya mafuriko pamoja na maporomoko hayo ya udongo yanayosababishwa na kimbunga GONI.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Kimbunga chaua nchini PHILIPPINES).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”


mtu.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS