Job Ole Ndugai ndie spika mpya wa bunge la Tanzania

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Soma. Hii ndio sababu kwa nini nawapenda wanawake, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Job Ole Ndugai ndie spika mpya wa bunge la Tanzania.

Endelea kefurahia makala nzuri kila siku unapotembelea tovuti hii.

Job Ole Ndugai ndie spika mpya wa bunge la Tanzania

By, Melkisedeck Shine.

Alikuwa naibu wa spika wa bunge lililokamilika.

Ndugai anatarajiwa kuliongoza bunge lenye zaidi ya wabunge 100 kutoka upinzani ,ikiwa ndio idadi kubwa zaidi kuwahi kuchaguliwa katika bunge hilo.

Kulikuwa na wagombea 8 waliowania wadhfa huo wa spika,lakini mwishowe ushindani ulikuwa kati ya mgombea wa chama tawala cha CCM Job Ole Ndugai na mwenzake wa upinzani Goodluck Ole Medeye kutoka chama cha Chadema.
Bunge jipya litakuwa na wanachama 394,ikiwa linawawakalishi 30 zaidi ikilinganishwa na bunge lililopita kufuatia kubuniwa kwa maeneo mapya ya ubunge.

Ndugai mwenye umri wa miaka 55 alijipatia thuluthi mbili ya kura zinazohitajika.

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Job Ole Ndugai ndie spika mpya wa bunge la Tanzania, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

KADI-POLE-MZAZI.JPG
wadogo.gif