.

πŸ‘‰ Hungary waingia fainali Euro 2016πŸ‘‡βœ”

IMG_20180109_192117.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 29 Jan 2016 15:09. [Legal & Authority]


Hungary waingia fainali Euro 2016

151116004546_hungary_team_304x171_bbc_nocredit.jpg

Timu ya taifa ya Hungary imefuzu kutinga hatua ya fainali za Mataifa ya Ulaya, Euro 2016, baada ya kuifunga Norway 2-1.
katika mchezo wa mchujo na hii ni mara ya kwanza kwao kucheza Fainali za Mashindano makubwa toka walivyofanya hivyo mwaka 1986.
Mchezaji Tamas Priskin ndie aliyeanza kuwafungia Hungary bao la kwanza dakika ya 13 kisha Γ–rjan Nyland, wa Norway akajifunga , huku Markus Henriksen, akiifungia timu yake ya Norway bao pekee
Ushindi huo umewafanya wafuzu kwa Jumla ya Mabao 3-1 katika michezo Mechi miwili baada ya kushinda Mechi ya kwanza Ugenini kwa Bao 1-0.
Zimesalia timu tatau zinazowania kufuzu kwa fainali za Euro 2016 leo kutachezwa mchezo mwingine mmoja wa kusaka tiketi ambapo Ireland watakipiga na Bosnia na Herzegovina.

Chanzo BBC

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Mapishi ya Firigisi za kuku.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Hungary waingia fainali Euro 2016).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Nini maoni yako kuhusu, Hungary waingia fainali Euro 2016? Niandikie hapa
Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

IMG_20180109_191617.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Siri kuu ya kuishinda hasira yako ni kusubiri kabla ya kutenda unapokuwa na hasira."

SASA.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

MAWASILIANO | KUHUSU MWANDISHI

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS