Tafuta

.

Unatafutwa na marafiki zako wa zamani Bado wanakupenda sana ndio maana wanakutafuta.

👉SOMA ZAIDI HAPA...

👉 Hungary waingia fainali Euro 2016👇✔

151116004546_hungary_team_304x171_bbc_nocredit.jpg

Timu ya taifa ya Hungary imefuzu kutinga hatua ya fainali za Mataifa ya Ulaya, Euro 2016, baada ya kuifunga Norway 2-1.
katika mchezo wa mchujo na hii ni mara ya kwanza kwao kucheza Fainali za Mashindano makubwa toka walivyofanya hivyo mwaka 1986.
Mchezaji Tamas Priskin ndie aliyeanza kuwafungia Hungary bao la kwanza dakika ya 13 kisha Örjan Nyland, wa Norway akajifunga , huku Markus Henriksen, akiifungia timu yake ya Norway bao pekee
Ushindi huo umewafanya wafuzu kwa Jumla ya Mabao 3-1 katika michezo Mechi miwili baada ya kushinda Mechi ya kwanza Ugenini kwa Bao 1-0.
Zimesalia timu tatau zinazowania kufuzu kwa fainali za Euro 2016 leo kutachezwa mchezo mwingine mmoja wa kusaka tiketi ambapo Ireland watakipiga na Bosnia na Herzegovina.

Chanzo BBC

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Hungary waingia fainali Euro 2016).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

Kijitabu cha Kilimo Bora cha Kabichi kinafundisha kulima kabichi

👉JUA ZAIDI...

uliyesoma.gif

.